N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,306 Reaction score 12,809 Mar 25, 2018 #1 Sasa huyu muajiriwa wenu kaandika WAKORONI kwenye kipindi ambacho huwa naamini ni makini...mnatuangusha watazamaji...au mmeajiri mZulu!
Sasa huyu muajiriwa wenu kaandika WAKORONI kwenye kipindi ambacho huwa naamini ni makini...mnatuangusha watazamaji...au mmeajiri mZulu!
sir None JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 428 Reaction score 215 Mar 25, 2018 #2 Mistake is the part of life. Any one who never made a mistake has never tried anything new
U Upiversity JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 3,486 Reaction score 2,634 Mar 25, 2018 #3 sir None said: Mistake is the part of life. Any one who never made a mistake has never tried anything new Click to expand... ..umemaliza, .na uzi ufutwe!
sir None said: Mistake is the part of life. Any one who never made a mistake has never tried anything new Click to expand... ..umemaliza, .na uzi ufutwe!
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,401 Reaction score 31,486 Mar 25, 2018 #4 Hivi hiyo picha ya avatar yko ulikuwa makini wakati unaichagua?.
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,482 Reaction score 61,396 Mar 25, 2018 #5 sir None said: Mistake is the part of life. Any one who never made a mistake has never tried anything new Click to expand... Usitetee uzembe! This is NOT a mistake. Huu ni UZEMBE! Watanzania tumezoea uvivu na uzembe kiasi ambacho tumefikia hatua ya kuita uzembe ni bahati mbaya.
sir None said: Mistake is the part of life. Any one who never made a mistake has never tried anything new Click to expand... Usitetee uzembe! This is NOT a mistake. Huu ni UZEMBE! Watanzania tumezoea uvivu na uzembe kiasi ambacho tumefikia hatua ya kuita uzembe ni bahati mbaya.