Unafam expression ya spike protein gene on human cell?Leo mida hii ya swala ya adhuhuri afisa chanjo amefika msikitini tunapo swalia,nahisi atakuwa sio muislam maana kipindi tunaingia kuswali yeye alibaki nje...
Chanjo ya vidonge iko tayari, bado kuanza kutumika tuuLeo mida hii ya swala ya adhuhuri afisa chanjo amefika msikitini tunapo swalia,nahisi atakuwa sio muislam maana kipindi tunaingia kuswali yeye alibaki nje...
Kwa hiyo hata huku kwenye nyumba za ibada inabidi watu wapewe taarifa mapema..sio kushtukiza mara paap mzigo huo hapo.Kuna mahali ilikuwa siku kuu ya watoto, na watoto walipangiwa kushinda pale, kiongozi wa shughuli hiyo akatangaza anaomba wazazi waachie watoto washinde pale wakati shughuli inaendelea...
Natamani CCM wangeendelea na msimamo wao wa kukataa chanjo....
mkuu ulivyoanza kwa mhimizo huo, sikutegemea kama ungekula kona mwishoni kwa kisingizio cha kuogopa sindano. 😀😀 Asante kwa mwaliko lakini ......mh!Leo mida hii ya swala ya adhuhuri afisa chanjo amefika msikitini tunapo swalia, nahisi atakuwa sio muislam maana kipindi tunaingia kuswali yeye alibaki nje.
Baada ya swala watu wachache wamejitokeza kuchanja hasa idadi kubwa ikiwa ni wazee wenye umri zaidi ya miaka 50+ na vijana wachache.
Nadhani serikali inawajibika vilivyo kuwafikishia wenye nchi huduma ya chanjo mpaka kwenye nyumba za ibada, hii imekaa vizuri sana na vibaya kwa wale wasiohitaji huduma hii ya chanjo.
Jamani ndugu watanzania jitokezeni mkachanjwe ili kujikinga na uviko19...serikali inawajali na kuwapenda sana..haiwezi kutulisha matangopori mabosi wake..ila mimi sijabahatikiwa kuchanja kwa sababu naogopa sindano..labda ingeletwa chanjo ya vidonge.
Hii watu wataitumia sana.Chanjo ya vidonge iko tayari, bado kuanza kutumika tuu
Hivi Mama Gwajima yupo? Amepoa sana. Utadhani siyo yeye