HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,006
- 2,289
Kizuri kula na nduguyo
Wangapi mmepata chanjo?
Na kwa ambao hamjapata mnajua hili swala?
Upo mkoa gani?
Hahahahaha. Tunaomba majib ya hili swali tafadhali. Ila nimecheka sanaNgoja kwanza. Inamahusiano na nguvu zetu mabaharia?
Niko mbeya Miss NatafutaUpo mkoa gani?
Ililetwa kuchomwa ofisi kwetu lakini sikua na interest nayo hivyo sikuchoma
Ni muhimu sana?
Kwani mkuu ngoma hadi upimwe, hsuwezi jicheki mwenyewe kiroho safi?nasikia lazima wakupime ngoma kwanza au porojo?
20 elfu tuHivi gharama ya hii chanjo ni shilingi ngapi wakuu ?
Inategemea uko mkoa gani mkuuMiss natafuta mbona hunyooshi maelezo,wewe umechoma wapi na gharama zikoje ?
Sana mkuu.virusi vile vinaenea Hadi kwa hewa siku hiziIliletwa kuchomwa ofisi kwetu lakini sikua na interest nayo hivyo sikuchoma
Ni muhimu sana?
asante sana my dear, fanya hivyoNitakupeleka babe
jumla sindano ngapi mkuu?
Mmh so kumbe ukimwi na hepatitis B tiba yake nimojaUnaogopa kupima ngoma?
Hupimwi ngoma.wanakupima hivo virus vya hepatitis b
Kama unavo hupewi chanjo unapewa arv mkuu
Hospitali gani.tunaomba utupe gharama ya kipimo na chanjo kwa ujumla20 elfu tu