H Haematology Member Joined Jan 7, 2019 Posts 18 Reaction score 9 Jun 14, 2019 #1 Leo 14/6 ya kila mwaka ni siku ya mchangia damu kwa hiari.Kwa ambao mnaweza mnaweza kusogea kwenye sehemu wanazotoa ili kuchangia. Siku njema kwenu nyonte
Leo 14/6 ya kila mwaka ni siku ya mchangia damu kwa hiari.Kwa ambao mnaweza mnaweza kusogea kwenye sehemu wanazotoa ili kuchangia. Siku njema kwenu nyonte
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Jun 14, 2019 #2 Biskuti na soda zipo?
H Haematology Member Joined Jan 7, 2019 Posts 18 Reaction score 9 Jun 14, 2019 Thread starter #3 Hahaha sehemu nyingine wanatoa ila kwingine hawatoi Mwifwa said: Biskuti na soda zipo? Click to expand...
Hahaha sehemu nyingine wanatoa ila kwingine hawatoi Mwifwa said: Biskuti na soda zipo? Click to expand...
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Jun 14, 2019 #4 Haematology said: Hahaha sehemu nyingine wanatoa ila kwingine hawatoi Click to expand... Tusifanyiane hivyo, nitasepa na damu yangu nikahudumie mbu home
Haematology said: Hahaha sehemu nyingine wanatoa ila kwingine hawatoi Click to expand... Tusifanyiane hivyo, nitasepa na damu yangu nikahudumie mbu home
H Haematology Member Joined Jan 7, 2019 Posts 18 Reaction score 9 Jun 14, 2019 Thread starter #5 Hahahaahah huna moyo wa upendo kwa wagonjwa Mwifwa said: Tusifanyiane hivyo, nitasepa na damu yangu nikahudumie mbu home Click to expand...
Hahahaahah huna moyo wa upendo kwa wagonjwa Mwifwa said: Tusifanyiane hivyo, nitasepa na damu yangu nikahudumie mbu home Click to expand...
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Jun 14, 2019 #6 Haematology said: Hahahaahah huna moyo wa upendo kwa wagonjwa Click to expand... Unaweza ukatoa damu kwa moyo mkunjufu kabisa halafu hapo hapo utashuhudia mtu anakufa kwa kukosa damu.. Utajiuliza tunakwama wapi utakosa jibu..
Haematology said: Hahahaahah huna moyo wa upendo kwa wagonjwa Click to expand... Unaweza ukatoa damu kwa moyo mkunjufu kabisa halafu hapo hapo utashuhudia mtu anakufa kwa kukosa damu.. Utajiuliza tunakwama wapi utakosa jibu..
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,778 Reaction score 13,684 Jun 14, 2019 #7 Kweli kabisa mkuu Mwifwa said: Unaweza ukatoa damu kwa moyo mkunjufu kabisa halafu hapo hapo utashuhudia mtu anakufa kwa kukosa damu.. Utajiuliza tunakwama wapi utakosa jibu.. Click to expand...
Kweli kabisa mkuu Mwifwa said: Unaweza ukatoa damu kwa moyo mkunjufu kabisa halafu hapo hapo utashuhudia mtu anakufa kwa kukosa damu.. Utajiuliza tunakwama wapi utakosa jibu.. Click to expand...
H Haematology Member Joined Jan 7, 2019 Posts 18 Reaction score 9 Jun 14, 2019 Thread starter #8 Labda huyo mgonjwa alicheweshwa uletwa kupata huduma hiyo ila ww ulikuwa na nia ya kweli Mungu atakubariki kwa upendo wako Mwifwa said: Unaweza ukatoa damu kwa moyo mkunjufu kabisa halafu hapo hapo utashuhudia mtu anakufa kwa kukosa damu.. Utajiuliza tunakwama wapi utakosa jibu.. Click to expand...
Labda huyo mgonjwa alicheweshwa uletwa kupata huduma hiyo ila ww ulikuwa na nia ya kweli Mungu atakubariki kwa upendo wako Mwifwa said: Unaweza ukatoa damu kwa moyo mkunjufu kabisa halafu hapo hapo utashuhudia mtu anakufa kwa kukosa damu.. Utajiuliza tunakwama wapi utakosa jibu.. Click to expand...
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Jun 14, 2019 #9 Haematology said: Labda huyo mgonjwa alicheweshwa uletwa kupata huduma hiyo ila ww ulikuwa na nia ya kweli Mungu atakubariki kwa upendo wako Click to expand... Hata kama ulikuwa na nia ukiona huo upuz lazima roho ikuume
Haematology said: Labda huyo mgonjwa alicheweshwa uletwa kupata huduma hiyo ila ww ulikuwa na nia ya kweli Mungu atakubariki kwa upendo wako Click to expand... Hata kama ulikuwa na nia ukiona huo upuz lazima roho ikuume
H Haematology Member Joined Jan 7, 2019 Posts 18 Reaction score 9 Jun 14, 2019 Thread starter #10 Kweli kabisa inauma sana tuu sema haiwezi kuwa mara zote inatokea hivyo hizo mara nyingine utawaokoa wengine Mwifwa said: Hata kama ulikuwa na nia ukiona huo upuz lazima roho ikuume Click to expand...
Kweli kabisa inauma sana tuu sema haiwezi kuwa mara zote inatokea hivyo hizo mara nyingine utawaokoa wengine Mwifwa said: Hata kama ulikuwa na nia ukiona huo upuz lazima roho ikuume Click to expand...