Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

Mtanifanya nisirudi Mbeya nibaki huku kusini maisha. Kwanza nilifurahi sana mgomo wa ghafla hapa Mtwara wa usafiri wa magari halafu kimyakimya bila kelele wala maneno. Mtwara kucheeele
 
Mtanifanya nisirudi Mbeya nibaki huku kusini maisha. Kwanza nilifurahi sana mgomo wa ghafla hapa Mtwara wa usafiri wa magari halafu kimyakimya bila kelele wala maneno. Mtwara kucheeele
Kusini .......TUNA JAMBO LETU
 
Weka chochote mia tabo,elfu moja, n.k zitasaidia sana kuelimisha vijijini na ushindi tutapata
 
Ungeleta takwimu hiyo 95% ni shilingi ngapi na 5% pia ni shilingi ngapi.

Chadema inalamba si zaidi ya 300,000,000 kama ruzuku (kwa mwezi)..5% ya hiyo ni 15Million ambayo inakuwa shared na "the rest" baada ya wababe kuweka Millioni 285 kibindoni
 
Mkuu achana na huo mzoga uliooza. Hizo propaganda zao zimepitwa na wakati lakini wao bado tu wanazing'ang'ania cos they have got dead brains so their thinking capability is 00.0%
 
Mimi nimechanga 10,000/= kwa AirtelMoney. Nitaendelea kuchanga kila mwezi........
 
Hata mim nimechangia 5000/= ole wao waitumie vibaya
 
tuwekeeni na akaunti za benki. maana huku kusini ccm imegeuza reserve ya kura. hatutakubali safari hii kamwe.
BANK ACCOUNT:
NAMBA: 0150366723500. JINA: CHADEMA KANDA YA KUSINI. BANK: CRDB
Tunashukuru kwa mchango wako
Kwa mawasiliano zaidi piga 0787158788/0759158787 (Mratibu wa Kanda)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…