Hilo neno nafikiri linategemea mazingira uliyopo na huyu mwanamke kama mwenyewe ulivyoanisha kuwa mchana linaeleweka vingine na usiku vile vile. Ni kama mfano wa kumwambia mwana ndoa, uwe mwaminifu ataelewa kuwa asitembee nje ya ndoa, lakini akiwa kazini na kama kazi yake ni mhasibu ukamwambia kuwa mwaminifu atakuelewa kuwa anatakiwa kutokuiba pesa za kampuni.
Ni kusoma nyakati tu dogo ....