Changamoto za wapangaji

Sehemu nyingine wapangishaji wanalalamika biashara imekuwa mbovu
Huo ndio uhalisia wa hali ya soko la Mali isiyohamishika (Real Estate) kwa sasa mkuu.
Tembelea tu Masaki and the likes utaona ni jinsi gani apartments ziko wazi.
Kitu cha pili wateja wengi Wameshindwa kutekeleza wajibu (default) wa mikopo, kwa hiyo mabenki mengi yamezitwaa nyumba. Kwa mfano kuna jengo moja pale Upanga ilipo TSN market (njia ya kuingilia Muhimbili hosp) kuna units nyingi sana Exim Bank imezitwaa kutoka kwa wateja.

Mimi binafsi Naunga mkono huu mwenendo ili Watanzania tuweze kumudu kupanga nyumba/apartments kwa bei ya uhalisia wa soko. Maana ilikuwa wendawazimu na mabei ya $$$$$$$.

Pia hili suala la kulipa Kodi kwa mwaka au miezi Sita nadhani serikali kupitia Wizara husika inatakiwa kulipitia upya. Nchi jirani Kodi wenzetu wanalipa kwa mwezi.
 
Yeah ni kweli mkuu
 
Kama bado upo mjini(Dar?)hadi Julai hii basi ujue wewe ni mwanaume....
 
Ongezea hapo na hizi
1.Mimi nataka kupika kitimito majirani wananizingua kisa wao hawali
2.kupangiwa marafiki au madem wa kuwaleta
3.kila ukitaka kwenda kuoga unakuta mimama imekaa nje kwako inafumuana nywele
4.watu wanaiba kandambili za kuogea so lazima usubiri
5.kelele hasa wapangaji wa kike wasiiolewa wanapokuja na mashost zao
6.kila ukileta mwanamke lazma wamuulizie ni nani...sasa umwache ndani afu utoke nje umeloa jasho wanajua umetoka kugegeda kumbe mlikuwa mnasaidiana kusukuma chapati...."utaskia bro utamuua mtoto wa watu"
 
Njia rahisi kama mtu anaweza n kujenga unajenga nusu unamalizia ukiwa humo humo kwenye yko nyumba ili kuepukana na figisu za mwenye nyumba maana wengne hawana dogo ukimwambia hali ngumu hakuelewi kisa unakula sato kwako

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…