Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,266
Kwanini kina dada wanakojoa kwenye makopo vyumbani mwao?
UMEJUAJE?Kwanini kina dada wanakojoa kwenye makopo vyumbani mwao?
wanaogopa kwenda nje..especoally kama choo kipo mbali kidogo.Kwanini kina dada wanakojoa kwenye makopo vyumbani mwao?
hujawahi kuyaona??UMEJUAJE?
Usiku wanaogopa panyalod..maana choo kipo mita 10 na nyumba haina uzio..Kwanini kina dada wanakojoa kwenye makopo vyumbani mwao?
kuna kaukweli flani, NILITAKA KUJUA KAMA jamaa alifanya kautafiti. Ila nyumba za uswahilini wanawake wanaogopa. Mfano woga wa kubakwa kwani mida hiyo huwa na kanga na kakaptula tu, sasa kutoka njehujawahi kuyaona??
sio kubakwa..wanaogopa wachawi..we mkojo ukubane saa nane usiku utatoka peke ako?kuna kaukweli flani, NILITAKA KUJUA KAMA jamaa alifanya kautafiti. Ila nyumba za uswahilini wanawake wanaogopa. Mfano woga wa kubakwa kwani mida hiyo huwa na kanga na kakaptula tu, sasa kutoka nje
UWIIIII!! NGOJA WAJE MKUU BUJIKwanini kina dada wanakojoa kwenye makopo vyumbani mwao?