Mimi mwenyewe nasubiri kutupa tu line maana nipo mkoa mwingine na niliandikisha dar toka mwaka 2016 but kila nikitafuta namba mtandaoni naambiwa taarifa sio sahihi na wakati majina ni hayo hayo ninayotumia kwenye vyeti vyote, nikajitoa kwenda nida napo nimeambiwa hawaangalia kama uliandikisha mkoa mwingine