Brac Tanzania
Ni mateso kwa mafisa mikopo maana wanalizimishwa kulipia wateja wao marejesho ambao hakuleta rejesho, ukishindwa kufanya hivyo unafukuzwa kazi.
Mkuu acha haraka, elezea vizuri unamlipiaje mteja usiemjua rejesho?
By the way kama wafanyakazi ndo mlivyo hivi hata kuelezea changamoto yenu ni changamoto pia basi ni haki yenu msokotwe tu.