Dakika hii hii nimetoka kugombana nao nimehamisha pesa kutoka kwny line ya airtel kuipeleka kwenye tigo kuna muhamala nilitaka nifanye, ajabu sioni chochote wala huduma niliyotaka kufanya sipati, alafu pumbavu moja linaniambia nisubiri saa24!!!? Kweli!!? Wanajua nilikua nataka nifanye nini na huo muhamala usiku huu!!!?Habarini wakuu..
Kuna hilo Jambo ambalo lipo na limetokea Kwa wengi ambapo unajiunga kifurushi aidha Kwa tigopesa au salio unakatwa pesa tigo wanarudisha msg kuwa tayar wamekuunga halafu kumbe hawajakuuunga.
Sasa inakuja pale unapotaka kupiga simu unaambiwa huna salio la kutosha mbaya zaidi wanatuma msg Kwa mtu ulietaka kumpigia kuwa ulijaribu kupiga lkn hukua na salio je huku si ni kudhalilishana Kwa pesa yako mwenyewe?
Ukipiga customer care wanakwambia subiri 48 hrs utarudishiwa pesa au kifurushi chako kuna tatizo la kiufundi mbona hawatoi taarifa Kwa wateja km msijiunge kuna tatizo leo
Sasa Mimi muda wa ku track salio langu kwenye tigopesa ninaupata wapi.
Imagine two days nashindwa kupiga simu au kutuma SMS.
@tigotanzania
Kaka huu mtandao wa mchongo na inaonekana wanae mtu serekalini wameshamshika tayari kwahyo hizi kelele zetu ni kuondoa stress tu lkn hamna kitakachofanyikaDk hii hii nimehamisha pesa kutoka kwny line ya airtel kuipeleka kwenye tigo kuna muhamala nilitaka nifanye, ajabu sioni chochote wala huduma niliyotaka kufanya sipati, alafu pumbavu moja linaniambia nisubiri saa24!!!? Kweli!!? Wanajua nilikua nataka nifanye nini na huo muhamala usiku huu!!!?
Nilikua na sita sita sana kuhamisha ile pesa bhasi tu, sijui imekuaje, hawana huduma za uhakika kabisa!
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Mpaka kesho asubuhi, haijarudi hicho kisent nitakua tayari kupoteza wooote na chochote nilichokua nafanya na hii line ya tigo!Kaka huu mtandao wa mchongo na inaonekana wanae mtu serekalini wameshamshika tayari kwahyo hizi kelele zetu ni kuondoa stress tu lkn hamna kitakachofanyika
Mungu akulinde ungekuwa unafanya kazi serikali ndio ungejuta kila siku tumwamwambia mlipa kodi network hakuna na ni mifumo ya serikali.sasa mtu katoka Bush huko kaja wilayani hayo hata hajui na pesa zakeHabarini wakuu..
Kuna hilo Jambo ambalo lipo na limetokea Kwa wengi ambapo unajiunga kifurushi aidha Kwa tigopesa au salio unakatwa pesa tigo wanarudisha msg kuwa tayar wamekuunga halafu kumbe hawajakuuunga.
Sasa inakuja pale unapotaka kupiga simu unaambiwa huna salio la kutosha mbaya zaidi wanatuma msg Kwa mtu ulietaka kumpigia kuwa ulijaribu kupiga lkn hukua na salio je huku si ni kudhalilishana Kwa pesa yako mwenyewe?
Ukipiga customer care wanakwambia subiri 48 hrs utarudishiwa pesa au kifurushi chako kuna tatizo la kiufundi mbona hawatoi taarifa Kwa wateja km msijiunge kuna tatizo leo
Sasa Mimi muda wa ku track salio langu kwenye tigopesa ninaupata wapi.
Imagine two days nashindwa kupiga simu au kutuma SMS.
@tigotanzania
Kwani kuna tigo ipi mkuuNyoosha maelezo,
Ni Tigo ipi unazungumzia mkuu[emoji848]View attachment 2584913
Kuna na Hii pia mkuu[emoji15]Kwani kuna tigo ipi mkuu
Haha kabisa mara umeshinda milion 100 wakat unaiwaza elfu mbili yako walioichukuaHawa tigo wanakera sana per day unaeza tumiwa zaidi ya sms 20 za 15633 na mtu hujajiunga.
Maswali ya kipuuzi puuzi tu alieimba kanyaga ni nani
A. Dimond
B. R kelly
Ni mama yao [emoji51][emoji51] mbweha hawa
Umeelewa kwanini hiyo kitu imefananishwa na jina lao?huduma yao km jina la asili la hiyo kituKuna na Hii pia mkuu[emoji15]View attachment 2584925
Sio kwamba hata nashiriki hiyo michezo yao. Yani wanakera sana. Wamezidi na mameseji ya hovyo na yakitapeliHaha kabisa mara umeshinda milion 100 wakat unaiwaza elfu mbili yako walioichukua
Dawa ni ku block hiyo namba sms ziingie kama spam maana zinaingia hata saa 8 usiku subamiti hawaHawa tigo wanakera sana per day unaeza tumiwa zaidi ya sms 20 za 15633 na mtu hujajiunga.
Maswali ya kipuuzi puuzi tu alieimba kanyaga ni nani
A. Dimond
B. R kelly
Ni mama yao [emoji51][emoji51] mbweha hawa