Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,215
Sawa mkuuYes zitarudi.
Sawa mkuuNdio pesa zako zitarudishwa mkuu usipate hofu
Ni sehemu ya maisha uwezi kupatia kila sehemuUzembe.
Uzembe flani! Kwanini hukuthibitisha jina la huyo wakala kabla hujatuma?...Asee nimetoa pesa kimakosa kwa wakala ikaenda kwa wakala mwingine ..nime wapigia voda wamesema wameizuia na nisubiri ndani ya masaa 24 .
Je kuna alie wahi kukutwa na shida kama hii na akafanikiwa kupata pesa zake ?
Halafu kuna mjinga alisema hawana customer care, wakati mi kila nikipiga nawapataAsee nimetoa pesa kimakosa kwa wakala ikaenda kwa wakala mwingine ..nime wapigia voda wamesema wameizuia na nisubiri ndani ya masaa 24 .
Je kuna alie wahi kukutwa na shida kama hii na akafanikiwa kupata pesa zake ?
Mkuu kwa mazingira yalivyo nil mtajia jina aka hakikisha ndio ilo nika confirm maana alini tajia namba apakua na zile bango..nme confirm ndo ana shtuka kwamba jina sio ilo alisikia vibayaUzembe flani! Kwanini hukuthibitisha jina la huyo wakala kabla hujatuma?...
Shukrani mkuu nilkua na hofu labda kurudisha muamala kwa wakala ni process ndefuKwa voda usihofu, unaweza kuzipata kabla haya ya hiyo saa 24
😅hapo hapo ana punguza tsh 100 muamala una badilikaKukosea namba ya wakala haina shida, chamgamoto ingekuwa umemtumia mtu kimakosa, asee umkute mstaarabu haswa
SMS inaweza kuchelewa uwe unaangalia salio lakoShukrani mkuu nilkua na hofu labda kurudisha muamala kwa wakala ni process ndefu
SMS inaweza kuchelewa uwe unaangalia salio lako
Lakini hata kama akipunguza 100, huo muamala ulionakia kutoa hawezi kutoa kwani utakua umezuiliwa au inakuaje hapo!?😅hapo hapo ana punguza tsh 100 muamala una badilika
Zile reference no BLF0FV2CHYBU ziki badilika huo ni muamala mpyaLakini hata kama akipunguza 100, huo muamala ulionakia kutoa hawezi kutoa kwani utakua umezuiliwa au inakuaje hapo!?
Kuna watu waponsharp utafikiri wao wenyewe ni mawakalaLakini hata kama akipunguza 100, huo muamala ulionakia kutoa hawezi kutoa kwani utakua umezuiliwa au inakuaje hapo!?