Bongo hakuna ubunifu SanaHapo namtazama Drew na bright side tu wengine sijawatazama....hebu tupe za hapa bongo
SAM MISAGO NA ILE CHANELI YAKE YOU TUBE AJIPANGE AACHE UTANIHapo namtazama Drew na bright side tu wengine sijawatazama....hebu tupe za hapa bongo
Just for laugh Gags nawachungulia sana nikiwa nimeboreka! Wazee wa Quebec.Hizi chanell hapo chini nimeangalia video zao zote walizo upload
1.just4laugh gags
Hawa ndiyo wa Kali wa zile prank dunia nzima hakuna Kama Hawa
2.Drew Binsky,
Hii ni travel vlog huyu jamaa ametembelea kariibia kila nchi duniani, na pia anajua kupanga maelezo, Hadi visiwa vya huko Pacific
3. Mr beast
Huyu jamaa anagawa hela, magari, huwa anavichallenge vyake amazing,
Siku akili yake ikimtuma afungue show room ya kugawa magari bure, au anapita kazini kwako anakuambia nilikupa shngap unaacha kazi, ukimwambia million 100 anakupa hapohapo, review za watu wengi wanasema huyu jamaa ni kweli kabisa na sio fake.
4. Nomad trails
Jamaa na wife wake wanatoka Finland kwa baiskel kuja kuizunguka Africa, kwa Sasa wamekwama Gambia kwa sababu ya Corona.
5.Bright side
Hawa jamaa wamejikita kwenye maswala ya anga za mbali, kiujumla wako vizuri,
Nyingine ni
Natgeo
Space x
Kaelin and Kyra
Macquies brownies
Naswa.... naswa.... NaswaaaaBongo hakuna ubunifu Sana
Watuwanaigana
Kidogo , naangalia,
1. Big chawa, anawahoji wasanii wazamani ambao wamepotea kwenye game
2 . Jenafa tv
3. wasafi kwenye kipengele cha the story book, hata global tv
4.sirjeff Denis, yule Ontario aliyewaliza watu kwenye forex jf lakini
Yupo POA ananondo
5. Naswa prank ya Kenya
6. Wode Maya jamaa wa Ghana
Mr beast anatoa wapi hivyo vitu ni vyake na yeye anafanya mishe gani?Hizi chanell hapo chini nimeangalia video zao zote walizo upload
1.just4laugh gags
Hawa ndiyo wa Kali wa zile prank dunia nzima hakuna Kama Hawa
2.Drew Binsky,
Hii ni travel vlog huyu jamaa ametembelea kariibia kila nchi duniani, na pia anajua kupanga maelezo, Hadi visiwa vya huko Pacific
3. Mr beast
Huyu jamaa anagawa hela, magari, huwa anavichallenge vyake amazing,
Siku akili yake ikimtuma afungue show room ya kugawa magari bure, au anapita kazini kwako anakuambia nilikupa shngap unaacha kazi, ukimwambia million 100 anakupa hapohapo, review za watu wengi wanasema huyu jamaa ni kweli kabisa na sio fake.
4. Nomad trails
Jamaa na wife wake wanatoka Finland kwa baiskel kuja kuizunguka Africa, kwa Sasa wamekwama Gambia kwa sababu ya Corona.
5.Bright side
Hawa jamaa wamejikita kwenye maswala ya anga za mbali, kiujumla wako vizuri,
Nyingine ni
Natgeo
Space x
Kaelin and Kyra
Macquies brownies
Drew na bright side zinahusu nini MkuuHapo namtazama Drew na bright side tu wengine sijawatazama....hebu tupe za hapa bongo
Mkuu unahusika na nini hiyo wengine tupo huku Nanjilinji ndani ndani hatujui ya ulimwengu huo wa kwenuMimi hata wafunge chanel zote waniachie "Ultimate rap league"ya mtu mzima smack(Madevu), "KOTD"na TEDx Talks
Jamaa kaelezea hapo juu anapofungua uzi mkuu wanguDrew na bright side zinahusu nini Mkuu