Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Observer

Senior Member
Oct 18, 2006
188
290


Katika upangaji wa timu 16 zitakazopambana katika hatua ya mtoano uliofanyika leo, Timu ya Real Madrid imepangiwa kucheza na PSG wakati Chelsea itapambana na Barcelona.

Hii ndio jinsi timu zote zilivyopangiwa kucheza




Je ni timu zipi zina nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali?
 
Bado naona timu za EPL zikitoboa.
 
Sasa mbona umerudia kuandika kilichopo kwenye Picha uliyoweka auauauhahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…