​Habar kutoka kwa mtu wa karibu na Dr Syril Chami zinasema kwamba hatogombea tena kiti cha ubunge uchaguzi ujao katika jimbo lake la Moshi vijijini....
Dr. Syril Chami anamaliza muda wake wa awamu ya pili katika kiti hicho hv sasa... sababu ya kutaka kufanya hvyo ni kuwapa watu wengine wenye nia ya dhati kuendeleza gurudumu hilo...
Anachotaka kukifanya Mheshimiwa ni moyo wa kujali watu wengine au maji yamefika shingoni????.. nawakilisha!!

Lipi jema kwako?
akiendelea utasema anangangania madaraka. Sasa ametangaza kutokugombea
maji yamefika shingoni? Hii ndiyo Tanzania isiyojua lipi la kupongezwa
na lipi na kusemewa vibaya.
Yuko xawa kabxa cs uongz ni kama mbio za vjt itafka tym unatakiwa umkabdh mwnzako

Dah....umefupisha
nini hapo sasa asee....hiyo xawa....yako si ungeandika tuu sawa? Acha
hizo asee jukwaa lina ustaarabu wake hili hizo ni za fb Kule, Sorry ni
mtazamo tuu lakini
hahahahaa... uko vzr kijana,, haya sasa changia mada kwa maana hujaona hata mada ww imemzingua dogo ukakimbia...