Wakuu hii picha kwa wale tunaokumbua au tuliosma kanumbas ezni zile za sokodnary kwenye mtihani wa gegrapgy kulikuwa na swali la
Photograph and map interpration. Lilikuwa lina masi 40 ama sikosei
So kwa kutumia knowledge ya elimu ile tunaweza kuichmabua picha hii
kisisa,
kicuchumi. kiviwanda na
kiteknolojia etc
Mimi najiuliza maswali haya
- Je ikulu kuna hata kinyago kilichochongwa na mtazania??
- Je hata hizo picha za ukutani ni kazi ya wasanii gani wa hapa Tanzania
- Suti aliyovaa rais wetu imetengenezwa na Desinger gani i
- Kuhusu sofa, milango umetumika mpingo au mninga wa tabora au wa wapi ?
I mean is there anything made in tanzania by Tanzanian? mimi naona hakuna. na ni aibuuuu
Limit of interpratation is yours
Nawasilisha