Chama cha ubwabwa.

Naomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza?

Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
Shughuli imeisha tayari, si umeona covid 19 wametimkia CCM karibia wote? Hao ndo walikuwa wanasubiriwa ubwabwani ila nao wamesoma uelekeo wa upepo wakaona hakuna shughuli kule. Kifupi UBWABWA ni dead project
 
Utakuwa una njaa au umekumbuka arobaini ya "maliyemu"!🫸🫷😝😝😝😝
 
Naomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza?

Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
Wembo kawatapeli shwaaaaaaa asubuhi kweupe hawaamini tunasubiri confession zakutosha baada ya reforms

No reform No Election
 
Tunaandaa safu ya mawaziri baada ya kuchukua dola hapo baadae Octoba 😎
 
Naomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza?

Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
Ati unamtegemea kigaila awe mtu wa mipango?
Ati unamtegemea John mrema awe mtengeneza mipango?
Thubutu labda ya VICOBA na siyo chama cha siasa tena wakati huu???
 
Ndiyo kusema No reforms No election imewapasua vipande vipande?
 
Wale washachukua vijisenti toka kwa "wavurugaji" wa upinzani sasa hivi wanakunywa chai wakisubiri Ubwabwa uive.
 
Shughuli imeisha tayari, si umeona covid 19 wametimkia CCM karibia wote? Hao ndo walikuwa wanasubiriwa ubwabwani ila nao wamesoma uelekeo wa upepo wakaona hakuna shughuli kule. Kifupi UBWABWA ni dead project
Mungu huwa hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…