Chalazion surgery kwa Dar inapatikana wapi?

Kimosy

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
112
Reaction score
76
Jmn daktari yoyote anisaidie hasa kwa Dar es Salaam Chalazion surgery kwenye hospitali za serikali ni shingapi
Please wakuu
 
Jmn daktari yoyote anisaidie hasa kwa dar es salaam chalazion surgery kwenye hospitali za serikali ni shingapi
Please wakuuView attachment 2515681
Nenda Regency iko mnazi mmoja ikiwa utakuwa na Bima ya NHIF utasaidika kirahisi ila tofauti na hapo andaa atleast laki moja ila ukiwa na bima nenda na elfu kumi tu ya kufungulia jarada .
 
Penye bimaa apoo Dah
Io ni ya serikali mkuu
 
Nenda Regency iko mnazi mmoja ikiwa utakuwa na Bima ya NHIF utasaidika kirahisi ila tofauti na hapo andaa atleast laki moja ila ukiwa na bima nenda na elfu kumi tu ya kufungulia jarada .
Regency mnazi imehamia lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…