Mkuu htc yangu ipo marshamallow nataka kuroot nitumie ipiNatangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo "ROOTED"
Kama simu yako umeshai ROOT twende hatua kwa hatua.
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
.
8.Enjoy poweramp...
Mkuu samahan nijuze faida ya hii ktu?Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo "ROOTED"
Kama simu yako umeshai ROOT twende hatua kwa hatua.
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
.
8.Enjoy poweramp...
Mkuu kwa htc sina hakika sana hebu tafuta kingroot v4.8.0 halafu tafuta sehem ambayo internet iko faster kisha fanya hilo zoezi mkuu.Mkuu htc yangu ipo marshamallow nataka kuroot nitumie ipi
Natumia kingroot version 4.9. 0 inafika asilimia 30 inagoma
Poa mkuu nimejaribu sana bila mafanikioMkuu njia zipo lkn hazina mafanikio...
Mimi nilisha hangaika sana hadi kufikia ku root simu.
kitu kinapga kazi sana unataka na packs zake nyngne??Kama ulifanikiwa hongera.
Basi poa hiyo njia hapo ni kwa Rooted device mkuu.
Sio mbaya wewe kuweka kwa simu ambazo si rooted ili mtu asishawishike ku root simu.
Pamoja sana.