Kipindi cha nyuma chapati moja ilikuwa ikiuzwa 200 na chai ya rangi shilingi 100....so ukiagiza chapat 2 na chai unalipa 500....simple bajeti na rahisi kulipa pia...

Hi s kama wauza chips ukimuambia niekee kiepe yai bas atagonga mayai mawili sio moja wala matatu labda umwambie kirefu lakin ukikatisha lazma atakupa hivyo