Watanzania walivo na akili zao kuhadaika sasa ivi wamesahau shida zote sasa hivi wanahongwa khanga tishert na madira na kupandishwa kwenye malori
Diva Beyonce ucjali tunaukomboa wakati sasaWatanzania walivo na akili zao kuhadaika sasa ivi wamesahau shida zote sasa hivi wanahongwa khanga tishert na madira na kupandishwa kwenye malori
Watanzania hawana kosa....hatujui kama wanaipigia ccm kweli au tume inatangaza matokeo yakupangwa
hadi ikija tume huru ya uchaguzi ndo tutajua

hapa kazi tu
Watanzania walivo na akili zao kuhadaika sasa ivi wamesahau shida zote sasa hivi wanahongwa khanga tishert na madira na kupandishwa kwenye malori
Halafu muulize hiyo kazi sasa! Ni kazi gani? View attachment 291658au pengine hii