Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,933 Reaction score 44,942 Dec 10, 2025 #21 adriz said: Hata wewe Zamani ulikuwa mkorofi sana kipindi upo mgeni Jf ulikuwa una nyuzi za kiwaki sana nyingi zikiwa visa vya kuwala kimasihara walimu Click to expand... Mimi nimejiunga jf mwaka 2013 wewe bado uko darasa la nne Sema tu nilikuwa napenda sana mastory ya kipuuz puuz
adriz said: Hata wewe Zamani ulikuwa mkorofi sana kipindi upo mgeni Jf ulikuwa una nyuzi za kiwaki sana nyingi zikiwa visa vya kuwala kimasihara walimu Click to expand... Mimi nimejiunga jf mwaka 2013 wewe bado uko darasa la nne Sema tu nilikuwa napenda sana mastory ya kipuuz puuz
M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 4,609 Reaction score 8,869 Dec 10, 2025 #22 loose Nut said: Kupiga chafyana kukohoa inazuilika tu. Unakuta wanaume wazima mnashindwa kujizuia kikohozi na chafya kikikujia. Mwanamme vitu vidogo kama hivi vinazuilika tu. Kweli wanaume tumebaki wa chache. Click to expand... vipi buda unajizuia hadi kunyamba ?
loose Nut said: Kupiga chafyana kukohoa inazuilika tu. Unakuta wanaume wazima mnashindwa kujizuia kikohozi na chafya kikikujia. Mwanamme vitu vidogo kama hivi vinazuilika tu. Kweli wanaume tumebaki wa chache. Click to expand... vipi buda unajizuia hadi kunyamba ?
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 16,786 Reaction score 37,830 Dec 10, 2025 #23 Beira Boy said: Mimi nimejiunga jf mwaka 2013 wewe bado uko darasa la nne Sema tu nilikuwa napenda sana mastory ya kipuuz puuz Click to expand... 2013 nipo la 6 mkuu. Akaunti yako Zamani miaka ya 2015 - 18 ulikuwa unatunga sana visa vya uwongo na vya kipuuzi . Nina mpango wa kubadilisha ID nijiite Ghayo Bin Laden Cc : loose Nut Driz de Mafwele Busu la Kenge
Beira Boy said: Mimi nimejiunga jf mwaka 2013 wewe bado uko darasa la nne Sema tu nilikuwa napenda sana mastory ya kipuuz puuz Click to expand... 2013 nipo la 6 mkuu. Akaunti yako Zamani miaka ya 2015 - 18 ulikuwa unatunga sana visa vya uwongo na vya kipuuzi . Nina mpango wa kubadilisha ID nijiite Ghayo Bin Laden Cc : loose Nut Driz de Mafwele Busu la Kenge
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 5,459 Reaction score 11,345 Dec 17, 2025 #24 adriz said: 2013 nipo la 6 mkuu. Akaunti yako Zamani miaka ya 2015 - 18 ulikuwa unatunga sana visa vya uwongo na vya kipuuzi . Nina mpango wa kubadilisha ID nijiite Ghayo Bin Laden Cc : loose Nut Driz de Mafwele Busu la Kenge Click to expand... Ghayo empire kazi yake kutujazia server kipuuzi Shit barbarian Mongols GrandSon of Ghengis Khan son of bitch Kublai khan the Meeeee keeper of lost goat slave from Gadarenes Galilee wildness! 😅😅😅
adriz said: 2013 nipo la 6 mkuu. Akaunti yako Zamani miaka ya 2015 - 18 ulikuwa unatunga sana visa vya uwongo na vya kipuuzi . Nina mpango wa kubadilisha ID nijiite Ghayo Bin Laden Cc : loose Nut Driz de Mafwele Busu la Kenge Click to expand... Ghayo empire kazi yake kutujazia server kipuuzi Shit barbarian Mongols GrandSon of Ghengis Khan son of bitch Kublai khan the Meeeee keeper of lost goat slave from Gadarenes Galilee wildness! 😅😅😅