Chama cha Demokrasia na Maendeleo mpaka sasa kimeshapata madiwani 9 kati ya 14. Viti 5 bado havijatangazwa lakini inategemewa kuchukua vingi zaidi kati ya hivyo vitano.
ukianika sidiria huwezi kuanua gagulo...
hizi ni salam kwa Mwizi Keenja.
Alituzurumu 2005 watu na akili zetu tukatoka jumba la maendeleo urafiki machozi yanatutoka kwa uchungu.
Lakini tulishikana mikono na kukubaliana kuwa 2010 ama zao ama zetu.

Mkuu, ungetumia akili kidogo tu ungeona jinsi gani ambavyo sio rahisi kwa Mnyika kuwa aliibiwa ushindi mwaka 2005. Kama ingekuwa iliwezekana wakati ule, sioni jinsi ambavyo isingewezekana wakati huu, hasa ukizingatia kuwa, kuna watu wasio na aibu zaidi wakati huu kuliko wakati ule.
Tukubali ukweli tu. Tumeshirikiana kuipa CHADEMA ushindi, na turidhike na hilo. Tusherehekee pamoja. Sababu za ushindi huu zinajulikana bayana. CHADEMA peke yake isingeweza kushinda kama baadhi ya CCM wasingeipa kura zao pia.