PreGE2025 CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Chama cha Demokraska na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu wake Bw. John Mnyika leo Aprili 02, 2025 kimetangaza kutengua uteuzi wa Bw. Julius Mwita, aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chadema.

Taarifa hii ni kulingana na vyanzo vyetu vya kuaminika kutoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Kutenguliwa kwa Katibu huyo wa Sekretarieti ya Chadema kumekuja muda mfupi baada ya mzozano mkali ulioibuka mtandaoni, ukihusisha makada na wanachama wa Chadema, mara baada ya kuvuja kwa mawasiliano ya kundi sogozi la WhatsApp, lenye Viongozi mbalimbali wa sasa, wastaafu na wanachama wa Chadema waliokuwa wakipanga mikakati mbalimbali ya kudhohofisha na kupingana na vuguvugu la Chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania ya No Reforms, No election.

Katika Wingi wa ujumbe wao mfupi uliopigwa picha "screenshot" na kusambazwa kwenye mtandao wa X,na kile kinachotajwa kama 'huenda' ndiyo ikawa sababu ya kuenguliwa kwake, Mwita ameonekana akieleza kuwa;

"Iko hivi wakuu, ni bora kwenda (Kwenye kikao kilichoitishwa na Chama kikikusisha wanaotaka kuwania Ubunge), tutafute na watu wengine ambao wanaweza kufanya interview (Mahojiano) na Media (Vyombo vya habari) na kutoa maoni tofauti. Sasa tutawakimbia mpaka lini?na ni wapi na kwa namna gani tutaonesha kuwa hatuwaungi Mkono?"

Mwita ameendelea kuandika kusema kuwa " Hiki kikao (Kikao cha Chama na wanachama wanaotaka kuwania ubunge 2025) ni mwiba kwao na kama boss wao anaona wamemsaliti. Matokeo yakiwa makubwa itakuwa na maana kwamba watu wanaotaka ubunge ni wengi na ikiwa watakasirishwa nao, jamii haitaweza kuwaelewa."

"Ukiwaacha wakakutana na watu wachache, hisia itakayojengwa ni kuwa watu wameelewa na kuunga mkono No reforms, No election"Hii itajenga tafsiri kuwa UJINGA wao umekubalika kwa kila MwanaChadema na ndio maana hakuna wanaoutaka Ubunge" ameandika Mwita kwenye moja ya Ujumbe wake uliopigwa picha na kusambazwa mtandaoni.

Katika Ujumbe mwingine alioonekana Bw. Mwita kuusambaza ulisomeka kusema " waheshimiwa tumeletana hapa sisi kama wabunge tunaozungumza lugha moja ili tuwe na mkakati wa pamoja, lengo ni angalau tufikie 55.Karibuni na leteni majina ya wengine tunaoelewana (Tunaopinga No Reforms, No election)

Aidha Mwita katika picha zilizosambazwa mtandaoni ameonekana akihoji kusema "Namna gani uchaguzi unazuiwa, ikiwa serikali na CCM na wengine wanaendelea na maandalizi? Vipi ikiwa uchaguzi utafanyika na Chadema ikashindwa kuuzuia, nini hatma ya Chama kwa miaka mitano ijayo?" Amenukuliwa Mwita ambaye kibarua chake kimeripotiwa kukoma hii leo.
 
Chanzo: Jambo TV
 
Chadema tumewashauri tena nyie wengi wenu sio Wapinzani mko kimaslahi tu haya mnayosema kwamba kutofautiana sio usaliti eleweni wakati wowote kwenye siasa hizi usipoamini katika msimamo wa chama ondoka maana hapakufai.

Njooni CCM muone maisha ni tofauti sana niliwahi kusema nyie ni watu dhaifu sana msiokua na adabu wala uwezo!!! Imagine mnaota ndoto eti kabisa CCM iwape nyie nchi watu wa hovyo kama nyie!! CCM itatawala miaka 200 mingine bila shaka yeyote.
 
Serious tumahamie kwenye chama analogia? Labda kama tumechoka kufanya siasa za hoja, na tumeamua kuhamia kwenye siasa za mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Laana ya Dk Magufuli itamshughulikia Lisu hapahapa duniani ili ajue uongozi ni msalaba.

Magufuli alikuwa akiwajengea watanzania SGR na bwawa la umeme huku wakimtukana ni zamu ya Lisu kuongoza huku akitukanwa
Magufuli mwenyewe alikuwa laana anawezaje kumlaani mtu? Yuko jehanam huko anaokwa kama ndafu kudadadadeq
 
Laana ya Dk Magufuli itamshughulikia Lisu hapahapa duniani ili ajue uongozi ni msalaba.

Magufuli alikuwa akiwajengea watanzania SGR na bwawa la umeme huku wakimtukana ni zamu ya Lisu kuongoza huku akitukanwa
Mwenye laana ya mwenzie, ni huyo aliyetaka kumuua Lissu na kushindwa, matokeo yake LIKAFA LENYEWE, tena kirahisi sana! Na kama umemkumbuka, nenda Chato ukajizike kwenye kaburi lake!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
No REFORM NO ELECTION

Ukikaidi utapigwa tu. Tayari tuna support ya kanisa Mkatoliki, leo wametoa waraka wa kuhoji uhalali wa tume inayojiita huru ya uchaguzi
 
hao vibaka wa wa siasa chadema wanaelekea kung"oana meno vizuri sana, kwasababu ya huo utapeli wa no refom no elections ya huyo Yahaya na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…