Ha ha ha kweli mkuu, HKL hadi Pharmacy!
Afu nadhani hiki kizazi Waziri wao ni Philipo Mulugo (Tanzania = Visiwa vya Zimbabwe + Tanganyika).
Na haya ndio madhara ya kulazimisha Big Results Now ktk Elimu. Mara division 5. Mara kubadili matokeo ya Form 4 mara 2!
Hawa ukiwaambia una umwa mgongo hawachelewi kukupa Metakefrini!!
JK bhana kaweka historia nyingi Bongo!