PreGE2025 CHADEMA yaita watia nia wa Ubunge Nchi nzima kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,286
Reaction score
271,521
Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi.

Ukweli ni kwamba jambo hili si kususia uchaguzi, bali ni kuzuia kufanyika kwa uchaguzi ikiwa hakutakuwa na marekebisho ya utaratibu uliopo wa Uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio maana Chadema imetangaza kuwaita Watia nia wake wote wa Ubunge ili kuwaelimisha mambo kadhaa, Chadema inaamini kwamba Reforms zitafanyika ili kuwezesha uchaguzi huru na haki na hasa baada ya juhudi zao za kwenda huku na kule ili kuweka shinikizo la maboresho hayo.

Taarifa yao hii hapa

 

Kama kawaida, baada ya Tonetone kufeli sasa wanakamua watia nia. Taarifa za ndani zinasema wagombea urais wanapaswa kuchangia kwa lazima Tsh 5,000,000 (Milioni 5), wa ubunge 3,000,000 (milioni 3) na wa udiwani milioni 1.
Hii ni kwa sababu bila Mbowe chama hakina fedha. Watia nia wengi waliokuwa wameishatangaza nia ndani ya chama wanasema hawatakeenda kwenye kikao maana hata hivyo mwenyekiti Lissu anasema hapatakuwa na uchaguzi.
 
Itakuwa kuna shimo mwilini mwako halipo sawa, labla kutokana na matumizi mabovu ya shimo hilo.
 
Khenani ana mnyoosha dikteta uchwara mpaka wameamua kuwaita wawapige mkwara!
 
unamwaga chozi ukiwa wapi?
 
Ewe Mtia Nia mwenzangu wakati ni huu
 
Baadhi ya Watia nia wakiwa ukumbini

 
Wewe ndio huyo kwenye Avator? Unafanana na akili zako
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…