Kanda ya ziwa haijawahi kuwa ngome ya CCM, 2015 karata ilichangwa vizuri kuongeza kura na hata hivyo hazikutosha kwa kiasi kilichofikiriwa, mwaka huu zitapungua zaidi.
Unaifahamu stori ya wenje na Mkapa (RIP) nyamagana? Kama unaifahamu basi uelewe kinachofanana na hicho ndicho kilichotokea katika majimbo mengi huko. Kama huijui waulize wakubwa zako chamani.Tulipata wabunge wangapi wa majimbo kanda ya ziwa 2015?
Hapa umejitafsiri jinsi ulivyo shabiki maandazi!Mkuu una mawasiliano mazuri na hizo kanda kwa uhakika? Mwaka huu ungekuwa mzuri sana lakini hatukujipanga . .. ... .. .
Hakuna kanda tutatoka salama.
Fanya mawasiliano vizuri usijiaminishe hali inaweza kuja tofauti, kiushabiki tutakuunga mkono uzi wako. Siasa ni maisha sipendi nifanye ushabiki maandazi, naandika kama kilivyo japo nitakosana na wengi. . . .ambao mashabiki.
Lamadi, Simiyu, Bariadi na Meatu Lissu amejihakikishia kura.....Leo Lamadi watu wamejiapisha ...dah wewe LISSU wewe...
Chadema mtaibiwa kura nyingi mnoLeo Lamadi watu wamejiapisha ...dah wewe LISSU wewe...
Ni tahadhari BossUnapiga ramli? Juzi siyo Leo mzee!
CDM safari hii 2020 wapo very organized.Ni tahadhari Boss
Chadema isibweteke, ijipange na uzembe wa 2015 usijirudie
Hata Ezekiel wenje alipitezaje ubunge?
Tushangilie tu nyomi na Kimbunga
Usikimbie matokeo.Hapa umejitafsiri jinsi ulivyo shabiki maandazi!
Kilichofanywa na chama cha magufuli sio wizi bali ni ujambazi uhaini na ulawiti wa wapiga kuraChadema mtaibiwa kura nyingi mno
Udhaifu wa 2015= usirudie tena
Uhanithi was CCM kumpa nchi mgonjwa wa akili bipolar disorder , matokeo yake ndio haya sasa .Kilichofanywa na chama cha magufuli sio wizi bali ni ujambazi uhaini na ulawiti wa wapiga kura
Kura zimeamuliwa kanda ya ziwa...1: Mikoa ya kanda ya kati ni base ya Lissu kwa maana ni mtu wao wa nyumbani kisaikolojia ni ngumu kwa watu wa nyumbani kwako kukuacha kukuunga mkono, kanda hii inatarajiwa kuwa na wapiga kura milioni tatu.
2: Mikoa ya kanda ya kasikazini ni ngome ya chadema kwa maana kuwa ni makao makuu ya Mwenyekiti Mbowe na Chadema imejengwa kupitia kanda hii, Arusha ndio mother and father of revolution in Tanzania, Kanda hii inatarajiwa kuwa na wapiga kura kama milioni tatu na nusu.
AKILI YA LISSU NI KUBWA, HAJAHANGAIKA NA KANDA YA KASIKAZINI AKIFAHAMU KUWA ENEO HILI HALINA SHIDA HIVYO KAJARIBU KUFRUSTARATE KAMBI YA JIWE HUKO KANDA YA ZIWA, JAPO KUWA JIWE ATAONGOZA KANDA YA ZIWA BUT SIYO KWA KIWANGO KIKUBWA hivyo inampa fursa Lissu kumpiku Magufuli kwa kura za Kusini ambazo kwa kiwango kikubwa Magufuli atazikosa kwa sababu ya korosho.
Dar es Salaam ni ngoma droo,