CHADEMA WAMEKWISHA

Vitalis Konga

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
127
Reaction score
231
MBOWE NA CHADEMA ACHENI UBAGUZI, AMEKUFA NDESAMBURO MMOJA TU CHAMA KIZIMA MLIHAMIA MOSHI NA NYIMBO NA MAPAMBIO MKATUNGA.

LEO WAMEKUFA MAMIA YA WANANCHI UKEREWE TENA KTK JIMBO MNALOLIONGOZA MMEISHIA KUPIGA POROJO ZA KINAFIKI TU KWENYE MEDIA.

MMEMTELELEKEZA MBUNGE NA MWANACHAMA WENU MMEWAACHIA SERIKALI NA CCM WAMSAIDIE KUWAFARIJI WENZAKE,

KESHO NA AKIWAHAMA MH JOSEPH MKINDU MTASEMA KANUNULIWA!.
 
UPUUZI.
 
Mbona hakuna uhusiano wa misiba yote uliyoitaja na kuisha kwa CHADEMA? Au ndiyo UZI wako wa kwanza huu kuunda tangu ujiunge hivi karibuni? Hakuna usuhuba wa misiba na vyama hapa Tanzania ndugu...
Si lazima ulete KIROJA kama huna HOJA...
 
Usitafute Kiki kwenye msiba.Una Roho ya ushirikina.Watu wana huzuni we unaleta maigizo
 
Serikali imeachiwa wapi wewe wananchi wamejiokoa wenyewe.Maskini Kwa maskini wanasaidiana.Serikali juhudi iliyofanya ni kuchimba makaburi hapo ndo kuna bidii
 
Wew ni mjinga mkubwa pumbavu fulankuuuu
 
Ahamie kwa walioshindwa kutekeleza ahadi ya kivuko kipya mpaka kinaua mamia ya watu
Ccm na serikali yake inahusika na mauaji haya kwa asilimia 100
Kwa masikio yangu nilimsikia DC na mbunge wakiomba kivuko kitazamwe kabla hakijaleta maafa lakini kama kawaida yenu mambo ya wananchi hamna muda nayo Bali mna muda wa kupambana na chadema tu
 
Hata kuandika hujui ndio utakuwa na akili?

Herufi kubwa mwanzo mwisho kama tangazo
 
Hivi kwa nini tokea CCM ipate mwenyekiti huyu na katibu wa itikadi huyu hali imekuwa ya ajabu, kishamba, primitive, uncircumcised, kunkvchenzez nk nk? Hawa watu wamewatoa wapi? Yaani ni sawa na sufuria la pilau LA sherehe limwagikiwe na kinyesi cha bundi!
 
Mkishakua ccm hua akili mnamwazimisha nani???

Msiba na vyama vya siasa wapi na wapi?
 
Mnataka mseme wanatafuta kiki kisiasa
 
Rekebisha kauli yako.Serikali inawajibika kuhudumia wananchi na wala si kutoa msaada.Huyo Mbunge anashirikiana na serikali na si anasaidiwa mkuu.
 
Mleta mada una kinga ya kukamatwa? Maana waziri mkuu msaidizi aka The Great Ninja of Our Time Kang The King ameshatamka atakayeongelea msiba huu "weka ndani". Wenzetu labda mna Arrest immunity"?
 
Tujiandae na chaguzi za marudio.CDM ilishajitoa
 
Mtu mzima hivyo acha utoto mh.Rais kakataza siasa wewe unaleta uchochezi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…