CHADEMA WALIA NA Mh Dk Abdalah Kigoda

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Kambi rasmi ya upinzani bungeni imesema haina imani na waziri wa viwanda na biashara Mh Dk Abdalah Kigoda katika jitihada zake za kufufua viwanda nchini kwa kile wanachodai kuwa waziri huyo huyo ndiye aliyesimamia zoezi la ubinafsishaji wa viwanda miaka ya nyuma na kusababisha viwanda vingi kufa hali iliyochangia uchumi wa nchi kuporomoka na sasa ndiye huyo huyo anataka kuvifufua.
 
Wamesema Kweli KIgoda ndio mchawi wa viwanda vyetu ,mashamba na migodi akiwa Planning wakaanzisha ubinafsishaji akaenda mbali akawa anatia mikataba kuuza viwanda kwa bei ya kutupwa eti leo afufue viwanda kupeana ulaji tuu hafai huyo na wakutundikwa mtini ,muhujumu wa uchumi wa nchi yetu
 
Kweli imani naye uyo akuna kabisa maan toka yuko madarakn akuna cha kiwanda kufufulia mpk leo.vijana wengi ajira awana.mfano mzur saba jener mpk leo
 

Biashara zake za magari kazishindwa, leo mmempa Wizara ya Viwanda na Biashara ataweza wapi? Ni Mbunge wa Handeni miaka nenda miaka rudi, na hakuna hata alicho kifanya Handeni. Maji shida, barabara shida, elimu matatizo matupu na huduma za afya ndio maiti kabisa.
 
..."problems can not be solved by the same level of thinking that created them" by mh Msigwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…