Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Mchawi upo?Kama wagombea tu hawana pesa,za kuwalipa mawakala tutapata wapi?
Ndio mwanzo wa kipigo hapoKama wagombea tu hawana pesa,za kuwalipa mawakala tutapata wapi?
Uchaguzi wote uko kwa maeneo hayo makuu 2. Kudhibiti hapo bhaasi utashinda au kushindwa kwa halaliMAWAKALA na WASIMAMIZI wa uchaguzi ndio watakaosababisha kushinda na kushindwa kwa mtu.
Naamini kuwa Kila binadamu Ana hali ya kupenda haki ndani yake,hata Kama ni katili kiasi gani, na vilevile naamini wapenda haki ni wengi kuliko wanaoangalia maslahi binafsi, Hivyo nawaomba wote wanaopenda haki wasimamie haki, na watakuwa nafuraha na amani ya kweli.Inside person ameniambia kwamba moja ya mbinu ambayo itatumika siku ya uchaguzi ni kuleta watu wa kufanya fujo kwenye vituo vya kupigia kura. Mtu taingia na kumshambulia wakala wa chadema,aki-react kujibu mashambulizi basi anatolewa kwenye kituo na msimamizi wa uchaguzi kwa kufanya fujo kituoni.
Pole mkuu,umeongea ukilengwa machozi kabisa...Jiandae tu kisaikolojia...ukweli utakuwa huo kwa 99%,kukiondoa chama tawala siyo mchezo,viashiria mbona vingi tu, mfano: Hotuba za Kilugha---Kienyeji/Kisukuma kikiwemo. Zinatoa picha ?etc.Naamini kuwa Kila binadamu Ana hali ya kupenda haki ndani yake,hata Kama ni katili kiasi gani, na vilevile naamini wapenda haki ni wengi kuliko wanaoangalia maslahi binafsi, Hivyo nawaomba wote wanaopenda haki wasimamie haki, na watakuwa nafuraha na amani ya kweli.
Mkuu..ujumbe nadhani umeupata...Vyovyote vile. Picha ndiyo hiyo.Hapo unaonglea kushinda au kutangazwa , ok ushauri wako ni mzuri
Anayetuna yupi,asiye jali utu,nakutweza utu au anaye pings hayo.Tatizo hao ni manyumbu , yanashangilia kujaza watu na kutukana....