G gasamcha Member Joined Mar 22, 2014 Posts 29 Reaction score 4 Mar 26, 2014 #1 Inasemekana cdm wameshashindwa uchanguzi in advance kule Chalinze. Ni jimbo inasemekana limekosa mvuto kwa Slaa na Mbowe na Lema amegoma kisa eti walimwachia kwa sehemu kubwa kule Kalenga, sasa ni zamu yao!
Inasemekana cdm wameshashindwa uchanguzi in advance kule Chalinze. Ni jimbo inasemekana limekosa mvuto kwa Slaa na Mbowe na Lema amegoma kisa eti walimwachia kwa sehemu kubwa kule Kalenga, sasa ni zamu yao!