KAMA CCM wakirusha makombora .... . 4. kumleta mfu (balali) 5. Wamiliki wa Simba trust na Kagoda 6. Utajiri wa RIZ 1 7. twiga kupanda ndege 8. wezi wa rasilimali zetu 9. Kwann ACACIA wamehamia TZ jumla 10. Wamiliki wa VIETEL....Kuna umuhimu wa kufanya hivyo kwa sababu kuu tatu: 1. kumtambulisha kama mwanachama mpya wa Chadema, 2. kama mgombea Urais kwa tiketi ya Ukawa, 3. kuweka ukweli juu ya mambo ya Richmond
KAMA CCM wakirusha makombora .... . 4. kumleta mfu (balali) 5. Wamiliki wa Simba trust na Kagoda 6. Utajiri wa RIZ 1 7. twiga kupanda ndege 8. wezi wa rasilimali zetu 9. Kwann ACACIA wamehamia TZ jumla 10. Wamiliki wa VIETEL....
Umenena mkuu...pia wakumbuke kuwa, atakumbana na maswali ambayo hayako planned, ukizingatia kuwa Mzee hana ubavu wa kujieleza kwa ufasaha..
KAMA CCM wakirusha makombora .... . 4. kumleta mfu (balali) 5. Wamiliki wa Simba trust na Kagoda 6. Utajiri wa RIZ 1 7. twiga kupanda ndege 8. wezi wa rasilimali zetu 9. Kwann ACACIA wamehamia TZ jumla 10. Wamiliki wa VIETEL....
Duuu!ALIKUWA WETU HUYU......
mafuriko ndiyo hayooooooo yameanzia ufipa
swali zuri sana hilo kwa mtoto wa mkulima.Mkuu Vietel inamilikiwa na nani tufumbue macho hapo.
Kama ilyokuwa kwa mgombea wa ccm kuwa mh.lowassa na yeye mumtembeze huku mikoani kwa lengo la kumtambulisha kabla ya kampeni tuone kama tume itazuia au itasema nini wananchi tupo macho kuliona hilo.
Lazima tumtembeze Mgombea wetu Lowassa kumtambulisha kwa wananchi...
Duuh kumbe mtoto wa mkulima na yeye kafanya yake, hii nchi viongozi washagawana vipande.