Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Ukombozi wa nchi si wa Chadema pekee, kila mtanzania anawajibu wa kuikomboa nchi yake.
kwa hiyo baada ya kikombe cha babu kupoteza umaarufu serikali imewatupa?
Ukombozi wa nchi si wa Chadema pekee, kila mtanzania anawajibu wa kuikomboa nchi yake.
Ukombozi wa nchi si wa Chadema pekee, kila mtanzania anawajibu wa kuikomboa nchi yake.
Ukombozi wa nchi si wa Chadema pekee, kila mtanzania anawajibu wa kuikomboa nchi yake.
Huu ni mwaka wa kukaba kila kona ya nchi hii,kila mzalendo wa kweli na anayejitambua anawajibu wa kutoa elimu ya uraia na uzalendo kila mahali alipo ili tuweze kuikomboa nchi yetu toka mikononi mwa manyang,au,mafisadi yaani ccm.muda huu si wakushangaa tena ni wakt wa kupambana kwelikweli.Mungu ibariki Tza,Mungu ibariki cdm
Ujumbe huu uwafikie wanachama na viongozi wa Chadema popote walipo. Loiliondo Tunahiatji ukombozi, sisi wananchi tumechoshwa na udhalimu unaofanywa na serikali ya CCM kupitia Halmashauri yake. Wilaya hii ndio wilaya ya pili katika kuchangia pato la taifa lkn ndiyo wilaya ya mwisho katika maendeleo. Wilaya hii ilianzishwa mwaka 1979 lkn mpaka leo hakuna maji yanayotoka ndani ya bomba, hakuna umeme, huduma mbovu za hospitali hata sehemu ya kuzikia mahiti ukifika waweza kutoa machozi.
Chadema karibuni loliondo tuwakomboe watz, majemedari waliopo huku hawatoshi kuimarisha nguvu japo mchango wao ni mkubwa katika kukitangaza chama, hv sasa katika nyumba nyingi za hapa loliondo zinapeperusha bendera ya Chadema na hii inatokana na ujio wa Mhe Mbowe mwaka jana watu walipata hamasa na wakahamasika mpaka kufikia hatua ya Dr. Slaa kuongoza kwa kura za uchaguzi mkuu katika vituo vya wasso na loliondo.
kweli kabisa,na chenge na lowasa, na karamagi,....na riz1,.....Ukombozi wa nchi si wa Chadema pekee, kila mtanzania anawajibu wa kuikomboa nchi yake.
CHADEMA ni chama cha mjini hawezi kuja Loliondo kijijini.