DIZZO MTAWALA
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 240
- 769
Una Hakika Kweli...? Watanzania wote hii saccos wanaitumainia ?
Kama kuna mtu anawategemea hao magaidi atakuwa na akili za maitiTAASISI IMARA ILIYOJENGWA KWENYE MIOYO YA WATANZANIA
chadema ni chama Kilichobebwa kwenye mioyo ya watanzania toka kuanzishwa kwake chini ya wazee wetu wakiongozwa na mzee Edwini Mtei,mzee hayati Bob makani na wengine wengi .
Zipo sababu kadhaaa kwanini ccm na dola wameshindwa kuisambaratisha chadema
(1)sera madhubuti zenye kuakisi maisha ya watu na kutoa suluhisho kwenye matatizo mengi yaliyopo yaliyosababishwa na chama tawala kama mfumo wa elimu,afya na maji, chadema inaamini maji na afya ni vipaumbele muhimu kwa Jamii hasa ya vijijini kuwa na mpango madhubuti
Pia juzi chadema imezindua sera ya wazee ikiwa bavicha nayo ilishazindua na Bawacha pia walizindua so ni chama ambacho kimezamiria kuyakamata madaraka ya nchii hii kwa njia za kidemokrasia.
(2)watu wa rika zote kuwaunga mkono hasa kundi muhimu la vijana ambalo lipo zaidi ya asilimia 60 ya watanzania wote chadema imejipambanua kimuundo wa kitaasisi kupitia kundi la vijana mathalani toka 2005 baada ya uchaguzi mkuu chadema ilitengeneza vijana wengi ktk uongozi rejea kwa kina zitto,John mrema,halima mdee na wengine wengi likaja kundi la kina John Heche
Deogratias Munishi marehemu Josephat Isango na wengine wengi ,Na haikushangaza kumuona hayati RAIS JOHN POMBE MAGUFULI kuwapa wengi vyeo kwenye serikali sababu ccm ilikuwa dhohoofu mpaka sasa kwenye kupika viongozi wake pamoja na vijana wengi kuchukuliwa kwa kitu kinachoitwa “kuunga mkono juhudi “ bado chadema kama taasisi ilieendelea kuwa imara na jawabu ilikuwa uchaguzi uliopita ambawo ccm “waliupora “mchakato wenyewe ,Leo chadema asilimia 99.99 makatibu wa kanda zote kumi na mikoa yake ni vijana waliolelewa na chadema ambao kwa sasa wamekuwa nguzo muhimu ya chadema
(3)MWENYEKITI Freeman Mbowe moja kati ya nguzo muhimu ya chadema huyu ni mwamba kweli kweli hajawai kutikisika hata kidogo amekuwa imara ameivusha chadema ktk tanuru la moto ashakoswa kuuwawa arusha pale viwanja vya olasit arusha achilia mbali bishara zake kuharibiwa mfano bilicanas kuvunjwa mashamba yake kuharibiwa bado hakuwai kuisaliti dhamiri yake ya kuona demokrasia na haki ya kweli ikishamiri ktk Taifa
NI mmoja ktk ya viongozi waungwana sana yaani aliwai kutuambia tusilipe visasi tena akaenda mbali zaidi siku chadema kikawa chama cha visasi hatakuwa sehemu Yao haya ni maneno ya kiongozi aliyefanyiwa hila nyingi na mfumo lakini bado anaamini kwenye maridhiano yenye kusadifu demokrasia na haki za watu
(4)UJASUSI hapa ieleweke ni uwezo kupata taarifa na kuweza kuzizuia kama kuna maumizo kwenye chama rejea sakata la kundi la kina zitto na wenzake,uchaguzi wa meya wa Arusha achilia mbali kesi za kutungwa ugaidi kwa chadema hakuanza kuzushiwa leo kipindi cha awamu ya nne mkurugenzi wake ulinzi wa chadema wilfred lwakatare alikamatwa na chadema kuvikwa sura ya ugaidi yapo mambo mengi yaliyofanywa na chadema hasa kwenye eneo la UJASUSI
(A)kuzima njia zilizovidhohofisha vyama vingine vya upinzani kama Nccr mageuzi ,CUF yaani propaganda ya udini ukanda na ukabila
(B)kuzuia mipasuko ndani ya chama kwa kutumia katiba yake pale wanapobaini rejea sakata la kina zzk ama covid19 wabunge
(C)kutokuogopa kufanya kazi na watu waliofanya kazi serikalini rejea kina mzee lowasa mzee sumaye na wengine wengi ,Ikumbukwe vyama kama Nccr mageuzi vilipandikiziwa propaganda ya “usystem”kama mzee mabere nyaucho marando ama Agustino lyatonga mrema chadema haikatai mtu kama mtu ana matendo mabaya katiba na miongozo ya chama itamtema tu
Mwisho kwa sasa chadema haishindani na ccm Bali walio ndani ya Dola waliojivika uccm kwasasa chadema ina uhalali wa kisiasa na ccm roho yake iko kwenye kwapa la dola
#mbowesiogaidi
#mbowesiogaidi
#mbowesiogaidiView attachment 2052489
Panya anapofukuzwa na paka hukubali kuingia kwenye shimo la Nyoka akijuwa ni kheri nyoka kuliko paka anaemyemelea usiku na mchanaUna Hakika Kweli...? Watanzania wote hii saccos wanaitumainia ?
Niwaite Wana JF wawataje maiti wanaonuka hapa jukwaani?Ukikosekana weye na vimbwenerehi wenzako akina nyenyenye sijui!😝😝😝😝Kama kuna mtu anawategemea hao magaidi atakuwa na akili za maiti
USSR
Saccos ni ccm chama cha walaji kodi za watanzania.Una Hakika Kweli...? Watanzania wote hii saccos wanaitumainia ?
Ccm ilishakufa na baba wa taifa mwl JK Nyerere.Ingekuwa hivyo vibaraka wa lumumba wasingepeleka kesi ya kubumba ya ugaidi
Umevuta bhange ya njombe wewe siyo bure kama siyo hivyo umerogwaToka nimeanza kufuatilia siasa sijawahi kumsikia mtu mwenye akili timamu aliyewahi kusema CHADEMA inafaa kuongoza nchi lakini nilichokisika mpaka sasa ni kwamba CHADEMA isife, na hii ni kwa sababu:
I) CHADEMA hakijawahi kusemwa kama chama cha siasa kwenye jamii licha ya kwamba ina usajili kwa msajili wa vyama vya siasa. Majina ambaye tumekua tukiyasikia juu ya CHADEMA ni SACCOS, Mali ya familia n.k
2)CHADEMA hakijawahi kujijenga kwenye misingi na amani, umoja na mshikamano ambazo ni nguzo za mtanzania.
3) Umaarufu wa CHADEMA si huu ambao tunaamini ndio humu JF, vijijini huko kuna wengine hata kirefu chake hawakijui achilia mbali kazi sake.
Safari ya CHADEMA kushika dola ni ndefu sana, inatakiwa ianze kwa kujenga falsafa inayoeleweka kwa Watanzania, kijenge mtazamo utakaofuta mtazamo wa wengi walioanao sasa kwamba CHADEMA ni saccos, inatakiwa itafute rasilimali watu wa kuaminiwa na kuaminika kuongoza nchi, watu kama Sugu na Lema ni mzaha.
Huyo kwa sasa ni sawa na msukule unaolinda kaburi la mizimu pale lumumba.Niwaite Wana JF wawataje maiti wanaonuka hapa jukwaani?Ukikosekana weye na vimbwenerehi wenzako akina nyenyenye sijui![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
taasisi ya MAGAIDI nayo unaiita tasisi imara kweli? yaani unaonekana huna hata akili ya kuvukia barabara yaani wewe ni ndezi tuTAASISI IMARA ILIYOJENGWA KWENYE MIOYO YA WATANZANIA
chadema ni chama Kilichobebwa kwenye mioyo ya watanzania toka kuanzishwa kwake chini ya wazee wetu wakiongozwa na mzee Edwini Mtei,mzee hayati Bob makani na wengine wengi .
Zipo sababu kadhaaa kwanini ccm na dola wameshindwa kuisambaratisha chadema
(1)sera madhubuti zenye kuakisi maisha ya watu na kutoa suluhisho kwenye matatizo mengi yaliyopo yaliyosababishwa na chama tawala kama mfumo wa elimu,afya na maji, chadema inaamini maji na afya ni vipaumbele muhimu kwa Jamii hasa ya vijijini kuwa na mpango madhubuti
Pia juzi chadema imezindua sera ya wazee ikiwa bavicha nayo ilishazindua na Bawacha pia walizindua so ni chama ambacho kimezamiria kuyakamata madaraka ya nchii hii kwa njia za kidemokrasia.
(2)watu wa rika zote kuwaunga mkono hasa kundi muhimu la vijana ambalo lipo zaidi ya asilimia 60 ya watanzania wote chadema imejipambanua kimuundo wa kitaasisi kupitia kundi la vijana mathalani toka 2005 baada ya uchaguzi mkuu chadema ilitengeneza vijana wengi ktk uongozi rejea kwa kina zitto,John mrema,halima mdee na wengine wengi likaja kundi la kina John Heche
Deogratias Munishi marehemu Josephat Isango na wengine wengi ,Na haikushangaza kumuona hayati RAIS JOHN POMBE MAGUFULI kuwapa wengi vyeo kwenye serikali sababu ccm ilikuwa dhohoofu mpaka sasa kwenye kupika viongozi wake pamoja na vijana wengi kuchukuliwa kwa kitu kinachoitwa “kuunga mkono juhudi “ bado chadema kama taasisi ilieendelea kuwa imara na jawabu ilikuwa uchaguzi uliopita ambawo ccm “waliupora “mchakato wenyewe ,Leo chadema asilimia 99.99 makatibu wa kanda zote kumi na mikoa yake ni vijana waliolelewa na chadema ambao kwa sasa wamekuwa nguzo muhimu ya chadema
(3)MWENYEKITI Freeman Mbowe moja kati ya nguzo muhimu ya chadema huyu ni mwamba kweli kweli hajawai kutikisika hata kidogo amekuwa imara ameivusha chadema ktk tanuru la moto ashakoswa kuuwawa arusha pale viwanja vya olasit arusha achilia mbali bishara zake kuharibiwa mfano bilicanas kuvunjwa mashamba yake kuharibiwa bado hakuwai kuisaliti dhamiri yake ya kuona demokrasia na haki ya kweli ikishamiri ktk Taifa
NI mmoja ktk ya viongozi waungwana sana yaani aliwai kutuambia tusilipe visasi tena akaenda mbali zaidi siku chadema kikawa chama cha visasi hatakuwa sehemu Yao haya ni maneno ya kiongozi aliyefanyiwa hila nyingi na mfumo lakini bado anaamini kwenye maridhiano yenye kusadifu demokrasia na haki za watu
(4)UJASUSI hapa ieleweke ni uwezo kupata taarifa na kuweza kuzizuia kama kuna maumizo kwenye chama rejea sakata la kundi la kina zitto na wenzake,uchaguzi wa meya wa Arusha achilia mbali kesi za kutungwa ugaidi kwa chadema hakuanza kuzushiwa leo kipindi cha awamu ya nne mkurugenzi wake ulinzi wa chadema wilfred lwakatare alikamatwa na chadema kuvikwa sura ya ugaidi yapo mambo mengi yaliyofanywa na chadema hasa kwenye eneo la UJASUSI
(A)kuzima njia zilizovidhohofisha vyama vingine vya upinzani kama Nccr mageuzi ,CUF yaani propaganda ya udini ukanda na ukabila
(B)kuzuia mipasuko ndani ya chama kwa kutumia katiba yake pale wanapobaini rejea sakata la kina zzk ama covid19 wabunge
(C)kutokuogopa kufanya kazi na watu waliofanya kazi serikalini rejea kina mzee lowasa mzee sumaye na wengine wengi ,Ikumbukwe vyama kama Nccr mageuzi vilipandikiziwa propaganda ya “usystem”kama mzee mabere nyaucho marando ama Agustino lyatonga mrema chadema haikatai mtu kama mtu ana matendo mabaya katiba na miongozo ya chama itamtema tu
Mwisho kwa sasa chadema haishindani na ccm Bali walio ndani ya Dola waliojivika uccm kwasasa chadema ina uhalali wa kisiasa na ccm roho yake iko kwenye kwapa la dola
#mbowesiogaidi
#mbowesiogaidi
#mbowesiogaidiView attachment 2052489
Ok.Tu-assume kwamba ni kweli hayo mambo hayapo.Sasa,kwa nini unateseka na CDM kama mzoga?Toka nimeanza kufuatilia siasa sijawahi kumsikia mtu mwenye akili timamu aliyewahi kusema CHADEMA inafaa kuongoza nchi lakini nilichokisika mpaka sasa ni kwamba CHADEMA isife, na hii ni kwa sababu:
I) CHADEMA hakijawahi kusemwa kama chama cha siasa kwenye jamii licha ya kwamba ina usajili kwa msajili wa vyama vya siasa. Majina ambaye tumekua tukiyasikia juu ya CHADEMA ni SACCOS, Mali ya familia n.k
2)CHADEMA hakijawahi kujijenga kwenye misingi na amani, umoja na mshikamano ambazo ni nguzo za mtanzania.
3) Umaarufu wa CHADEMA si huu ambao tunaamini ndio humu JF, vijijini huko kuna wengine hata kirefu chake hawakijui achilia mbali kazi sake.
Safari ya CHADEMA kushika dola ni ndefu sana, inatakiwa ianze kwa kujenga falsafa inayoeleweka kwa Watanzania, kijenge mtazamo utakaofuta mtazamo wa wengi walioanao sasa kwamba CHADEMA ni saccos, inatakiwa itafute rasilimali watu wa kuaminiwa na kuaminika kuongoza nchi, watu kama Sugu na Lema ni mzaha.
Atajidai ni mshika funguo wa geti la kaburi.Ana vibweka kama mcheza ngoma za maswezi.😝😝😝😝Huyo kwa sasa ni sawa na msukule unaolinda kaburi la mizimu pale lumumba.
Kumbuka pia kuwa alikuwa ni kiongozi wa ngoma ya gobogobo pale burigiAtajidai ni mshika funguo wa geti la kaburi.Ana vibweka kama mcheza ngoma za maswezi.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hiyaaa ya kunsamboo...hiyaa ya kuntolijaaa!Atakuwa anatumikia "jeshi" la sungusungu huyo.Si bure!😂😂😂Kumbuka pia kuwa alikuwa ni kiongozi wa ngoma ya gobogobo pale burigi
Mara ya mwisho alikuwa kasamwaHiyaaa ya kunsamboo...hiyaa ya kuntolijaaa!Atakuwa anatumikia "jeshi" la sungusungu huyo.Si bure![emoji23][emoji23][emoji23]
We sema tumaini lakoTAASISI IMARA ILIYOJENGWA KWENYE MIOYO YA WATANZANIA
chadema ni chama Kilichobebwa kwenye mioyo ya watanzania toka kuanzishwa kwake chini ya wazee wetu wakiongozwa na mzee Edwini Mtei,mzee hayati Bob makani na wengine wengi .
Zipo sababu kadhaaa kwanini ccm na dola wameshindwa kuisambaratisha chadema
(1)sera madhubuti zenye kuakisi maisha ya watu na kutoa suluhisho kwenye matatizo mengi yaliyopo yaliyosababishwa na chama tawala kama mfumo wa elimu,afya na maji, chadema inaamini maji na afya ni vipaumbele muhimu kwa Jamii hasa ya vijijini kuwa na mpango madhubuti
Pia juzi chadema imezindua sera ya wazee ikiwa bavicha nayo ilishazindua na Bawacha pia walizindua so ni chama ambacho kimezamiria kuyakamata madaraka ya nchii hii kwa njia za kidemokrasia.
(2)watu wa rika zote kuwaunga mkono hasa kundi muhimu la vijana ambalo lipo zaidi ya asilimia 60 ya watanzania wote chadema imejipambanua kimuundo wa kitaasisi kupitia kundi la vijana mathalani toka 2005 baada ya uchaguzi mkuu chadema ilitengeneza vijana wengi ktk uongozi rejea kwa kina zitto,John mrema,halima mdee na wengine wengi likaja kundi la kina John Heche
Deogratias Munishi marehemu Josephat Isango na wengine wengi ,Na haikushangaza kumuona hayati RAIS JOHN POMBE MAGUFULI kuwapa wengi vyeo kwenye serikali sababu ccm ilikuwa dhohoofu mpaka sasa kwenye kupika viongozi wake pamoja na vijana wengi kuchukuliwa kwa kitu kinachoitwa “kuunga mkono juhudi “ bado chadema kama taasisi ilieendelea kuwa imara na jawabu ilikuwa uchaguzi uliopita ambawo ccm “waliupora “mchakato wenyewe ,Leo chadema asilimia 99.99 makatibu wa kanda zote kumi na mikoa yake ni vijana waliolelewa na chadema ambao kwa sasa wamekuwa nguzo muhimu ya chadema
(3)MWENYEKITI Freeman Mbowe moja kati ya nguzo muhimu ya chadema huyu ni mwamba kweli kweli hajawai kutikisika hata kidogo amekuwa imara ameivusha chadema ktk tanuru la moto ashakoswa kuuwawa arusha pale viwanja vya olasit arusha achilia mbali bishara zake kuharibiwa mfano bilicanas kuvunjwa mashamba yake kuharibiwa bado hakuwai kuisaliti dhamiri yake ya kuona demokrasia na haki ya kweli ikishamiri ktk Taifa
NI mmoja ktk ya viongozi waungwana sana yaani aliwai kutuambia tusilipe visasi tena akaenda mbali zaidi siku chadema kikawa chama cha visasi hatakuwa sehemu Yao haya ni maneno ya kiongozi aliyefanyiwa hila nyingi na mfumo lakini bado anaamini kwenye maridhiano yenye kusadifu demokrasia na haki za watu
(4)UJASUSI hapa ieleweke ni uwezo kupata taarifa na kuweza kuzizuia kama kuna maumizo kwenye chama rejea sakata la kundi la kina zitto na wenzake,uchaguzi wa meya wa Arusha achilia mbali kesi za kutungwa ugaidi kwa chadema hakuanza kuzushiwa leo kipindi cha awamu ya nne mkurugenzi wake ulinzi wa chadema wilfred lwakatare alikamatwa na chadema kuvikwa sura ya ugaidi yapo mambo mengi yaliyofanywa na chadema hasa kwenye eneo la UJASUSI
(A)kuzima njia zilizovidhohofisha vyama vingine vya upinzani kama Nccr mageuzi ,CUF yaani propaganda ya udini ukanda na ukabila
(B)kuzuia mipasuko ndani ya chama kwa kutumia katiba yake pale wanapobaini rejea sakata la kina zzk ama covid19 wabunge
(C)kutokuogopa kufanya kazi na watu waliofanya kazi serikalini rejea kina mzee lowasa mzee sumaye na wengine wengi ,Ikumbukwe vyama kama Nccr mageuzi vilipandikiziwa propaganda ya “usystem”kama mzee mabere nyaucho marando ama Agustino lyatonga mrema chadema haikatai mtu kama mtu ana matendo mabaya katiba na miongozo ya chama itamtema tu
Mwisho kwa sasa chadema haishindani na ccm Bali walio ndani ya Dola waliojivika uccm kwasasa chadema ina uhalali wa kisiasa na ccm roho yake iko kwenye kwapa la dola
#mbowesiogaidi
#mbowesiogaidi
#mbowesiogaidiView attachment 2052489
Atakuwa alikuwa anatafuta misukule yake iliyotoroka.Na alitumia baiskeli kuzunguka kitongoji kwa kitongoji.Mara ya mwisho alikuwa kasamwa