Kwa utaratibu wa sasa hivi wa kutumia tume na polisi,hawatapata hata mbunge mmoja,na mimi nakuunga mkonoUpinzani uliobaki ni wa wananchi kutaka serikali iwafanyie mambo fulani. 2020 cdm ikipata jimbo hata moja, watakua wamejitahidi zaidi ya sana.
Kwani tume ya uchaguzi na polisi ndiyo wanaosababisha Wabunge na Madiwani kuihama cdm?Kwa utaratibu wa sasa hivi wa kutumia tume na polisi,hawatapata hata mbunge mmoja,na mimi nakuunga mkono
Mkuu usijidanganye. Kwa upande wangu mimi naamini hawa watu wananunuliwa na wanaahidiwa kabisa kurudishwa bungeni. Maana yake ni kuwa panakua na makubaliano baina ya muhamaji na huko anakohamia ndio maana unaona kila anayehama, anapewa nafasi ya kugombea tena. Kwa akili ndogo tu, utajua nini kinaendeleaNikiwa kama Mtanzania wa kawaida kabisa nachukua fursa hii kuwapa ushauri tu mjitafakari kuna sehemu mmejikwaa na hama hama hii ya wabunge wenu ipo siku mtajikuta hamna mbunge hata mmoja na ndio itakua mwisho wa CHADEMA.CHADEMA badilikeni mambo yanayosemwa semwa ndani ya chama chenu yawezekana yana ukweli kaaeni chini mchunguze alafu mtafute suluhu,naamini mimi kuna tatizo ndani ya chama na mkibaki na akili kwamba kila anae hama kanunuliwa chama ndio kinafutika hivo mtakumbuka shuka asubuhi huku chama ndio kimeshajifia itabaki kila mtu kuchukua kilicho chake.Asanteni ulikua ni ushauli tu.
Utatukanwa tuuNikiwa kama Mtanzania wa kawaida kabisa nachukua fursa hii kuwapa ushauri tu mjitafakari kuna sehemu mmejikwaa na hama hama hii ya wabunge wenu ipo siku mtajikuta hamna mbunge hata mmoja na ndio itakua mwisho wa CHADEMA.CHADEMA badilikeni mambo yanayosemwa semwa ndani ya chama chenu yawezekana yana ukweli kaaeni chini mchunguze alafu mtafute suluhu,naamini mimi kuna tatizo ndani ya chama na mkibaki na akili kwamba kila anae hama kanunuliwa chama ndio kinafutika hivo mtakumbuka shuka asubuhi huku chama ndio kimeshajifia itabaki kila mtu kuchukua kilicho chake.Asanteni ulikua ni ushauli tu.