Magufuli anasubiri kuapishwa ndiyo Rais wa tanzania ijayo.
mwiguli mwenyew n fisad mkubwa sana ndani ya ccm.machungu yapi???
magazet uchwara kama hili ni ya kufungiwa tu au kuchomwa moto
Atakamatwa tu hakuna namna,na hiv ana nyota ya kukatwa na watz tutamkata
Mpango mzima huu hapa
Ni kweli Mkuu angalia list hii.A chenge ubunge Bariadi-chadema,pro Tibaijuka ubunge chadema muleba,Ngereja-ubunge chadema Sengerema,N karamagi mjumbe NEC chadema,Jk mwenyekiti Taifa Chadema,Mkapa mwenyekiti na mjumbe kamati ya maadili chadema,du kali sana hiiChadema chama cha mafisadi tanzania.
bil 7mmetandikwa na vijana wenu wa jana wakapata kichapo na slaa wenu akakimbia nchi na ukawa inadunda kama kawa.
muda si mrefu tutakuwa angani na mashine 4mtakomaje?????
mtambo wenye Nguvu kuliko serikali yoyote iliyowahi kuundwa na ccm.nadhani huu mtambo unatakiwa kupewa nchi kama kweli tunaipenda nchi yetuLowasa ndiye fisadi namba moja ndiye mtambo wa kuzalish mafisadi Tanzania.
slaa kisha kuambia Lowasa ni sawa na kikombe kimoja cha Mavis kilichochotwa toka chooni (ccm) na kuwekwa kwenye chumba cha kulala(chadema).bahati mbaya kwa Slaa ni kuogopa harufu ya Mavi yaliyowekwa kwenye kikombe chumbani na ambayo yangekauka baada ya muda mfupi badala yake akaamua kuhamishia kitanda chooni.We lofa unataka kubisha kuwa Lowasa siyo fisadi?
Mbona mnachukuwa maneno ya sisiemu. "Mbele kwa mbele"?