Kwani Sukuma Gang Msukuma si alishakanusha kwamba hakuna kitu kama hicho. Sasa kusema ni Propaganda za CHADEMA inatoka wapi?Propaganda ya CHADEMA na msamiati wa sukumagang umegonga mwamba, CCM wanagawana tu vyeo.
Huyo ana ubia na moderators katika hii project yake ya kuichafua Chadema na viongozi wake. Hata kwenye mada ambayo haihusu Chadema au viongozi wake lazima achomekee post ya kumtukana Lissu na Mbowe na Chadema yote.Hii nchi ngumu sana yaani wewe mtoa post kutwa CHADEMA tu au Mbowe huwa huna kingine Cha kupost??