Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Wanajiita miamba ya Kaskazini, teh teh teh akiinuka kiongozi yoyote zaidi yao hawamruhusu kuishi kama unabisha muulize Zitto Kabwe alipokua Mwenyekiti wa PAC na Mbunge wa CDM katika nafasi ya juu ya utendaji kwa kuweka maslahi na mahaba niue ya chama pembeni alipomtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG na Msajili wa Vyama vya Siasa kuanza kulitilia mkazo na kuanza mara moja kufuatilia na kukagua Ruzuku kwenye vyama vya Siasa, CHADEMA walianza kumchukia ghafla kama sio Nzige hao ni nani teh teh teh wanalamba Ruzuku hao ni sheedah maana wao ni wa pili kwa kupata Ruzuku kubwa kwa upande wa vyama vya siasa! Afu wanajifanya watetezi wa wanyonge na wanachukia Rushwa. Ni NZIGE TU.
CHADEMA.
1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei 1988-2003. M/kiti Bob Makani 2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe 2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe 2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe
nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya siasa, vurugu ,unafiki na matusi pamoja na uongo.kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Jazba iko wapi nimekupa tip uende ukamuulize Dr. Slaa wale Bodaboda men waliokuwa wamejazana kwenye vituo vya mafuta katavi kwenye msafara wa Slaa walilipwa sh. Ngapi?ukipata jibu njoo tuendelee na mjadala!