kupe JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 1,036 Reaction score 330 Oct 3, 2012 #1 watanzania wenzangu . Mwenye kujua zaidi naomba na mimi anijuze ili niweze kuwajibu ndugu zangu wa vijijini wanaouliza mlengo wa chama cha chadema kama ni UJAMAA au UBEPARI.
watanzania wenzangu . Mwenye kujua zaidi naomba na mimi anijuze ili niweze kuwajibu ndugu zangu wa vijijini wanaouliza mlengo wa chama cha chadema kama ni UJAMAA au UBEPARI.
C Concrete JF-Expert Member Joined Mar 12, 2011 Posts 3,605 Reaction score 552 Oct 3, 2012 #2 Kinachanganya mazuri ya UJAMAA na UBEPARI!! Zinaitwa siasa za kilebelali.
Abunwasi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 5,486 Reaction score 3,483 Oct 3, 2012 #3 Kimekaa zaidi ki liberali ya mkondo wa shoto