I wish ningekuwepo, ene wei, utupe ukiweza yanayojiri ukumbini. pia kwa makadirio takwimu ya mahudhurio. je wamevishwa sare? kama kuna dalili zozote za wananchi kusafirishwa! kuna mgao wa posho ili kushawishi mahudhurio! by the wei hongera watoa mada na wananchi waliohudhuria.
yupo mbunge mh. Christina lissu na makamanda wengi sana wa ngazi ya mkoa.
hivi huyu ana undugu na T. Lissu? jibu tafadhali wandugu.
mchampaa Suya nakuja nyumbani wiki ijayo, nataka niweze kufanya kitu kuhusu kuhamasisha wanasingida juu ya katiba. Ningefurarahi tukionana pia na mwanafunzi wangu bwana Isango
True kwa taarifa nilizonazo ni dada ake huyu Christina Lissu
yupo mbunge mh. Christina lissu na makamanda wengi sana wa ngazi ya mkoa.
mimi nipo kwenye kikao,makamanda wamejiandaa vizuri tatizo ni mahudhurio,hakuna kabisa watu ndo mana kikao kimechelewa kuanza..kuna kiongozi mmoja apa wa bavicha ndo anapita pita kuwakusanya wadau wahudhurie kikao.nitaendelea kuwajuza na kueka picha badae.
mmm wewe unaanza pumba zako sasa, km umetumwa utatuudhi, uhuoni uozo ndiiii ulioko magambani???????chama cha undugunisation!! Kaka na dada wabunge eneo moja!!