habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?

Suala la ajali halichagui helikopta, vx, L/rover, ndege, treni, baiskeli, pikipiki nk, ndio maana tunamtanguliza Mungu kwanza hata tukienda kwa miguu. Fear not God is in control of everything.
Inasemekana Siku hiyo mwaka 1984, Hayati Edward Moringe Sokoine, alikataa kusafiri kwa Ndege kurudi Dar es Salaam akitokea kwenye mkutano wa Bunge Dodoma.
Kufika Kongwa, akakutana na PAJERO ya Dubisan Dube, mpigania uhuru kutoka South Africa,... BANG!!!!
Kuna mzee mmoja alika sebuleni kwake ni kama uani vile **** mak two moja ilipenya kuanzia barazani ikapita ukumbini ikaenda kumuua yeye tu aliyekaa sebuleni si mpaka upande headkopta kama zaman tulivyoiita