chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 211
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?
Naomba kuwasilisha.
Mkuu ajari ikiamua kutokea itatokea tu..mbona hata magari yanaua watu kila kukicha?
Na juzi juzi Selasini alipata ajali familia yake ikateketea na walikuwa hawatumii helcoptermkubwa!kaa ukijua siku ikifika hata kama hautatoka nyumbani utaondoka tu,haitajalisha kuna mema gani umefanya?upo wapi?unatumia chombo gani?.Siku ikifika haina mjadala,labda nikukumbushe,marehemu Chacha Wangwe,Marehemu Kabuye,Marehemu Regia Mtema,marehemu Sokonne...na wengine wengi walikufa wakiwa barabarani na angani,marehemu mwl nyerere alifia ugenini hosp,kifupi hakuna hajuae atakufaje
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu
Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli zao za kisiasa,baada ya kutokea kwa ajali mbaya huko kenya na kumpoteza prof. Saitoti,naishauri chadema waangalie upya mfumo wa usafiri kwa viongozi.je wadau na wanaharakati wa ukombozi mna maoni gani juu ya hili?
Naomba kuwasilisha.
....So mkuu kama unaogopa ajali then nakushauri uwashauri hao viongozi kutembea kwa miguu then.
Unaweza liwa na fisi au ukakanyagwa na tembo.