Naomba nitoe sikitiko langu kwa wa tanzania na tume za haki za binadamu kwamba ;kwa kua walioongea ni wapinzani .wako sahihi kutoa kauli kama hizo zinazohamasisha wananchi kuvunja sheria. Nashangaa pale waziri mkuu alipotoa kauli ya vyombo vya dola kuwapiga watakaokaidi amri halari, tume ya haki za binadamu ilimtaka afute kauli na kuwaomba radhi wananchi ,je kwa hili tume ya haki za binadamu mko wapi ? Kumbe kwenu binadamu ni wapinzani wananchi wasiokua viongozi kuweni fea msipendeleeeeee au kuegamia upande sio ishu