CHADEMA na siasa bora kabisa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Chadema kwa sasa ndiyo chama kinachofanya siasa bora kwa kuamini kuwa tofauti za itikadi uishia kwenye uwanja wa kampeini,hapa chini ni wanachama wa ccm walio telekezwa na malori yao mara baada ya kufanya mikutano yao na kwa bahati wanachadema wakawakuta na kuwaokoa kwa kuwapakia kwenye gari la chama cdm na kurudi nao makwao.lk hali huwa tofauti sana kwa wana ccm kuwasidia wapinzani wao

In God we Trust
 
Upendo, huruma, utu na maendeleo kwanza, Chama badae, ni kheri na baraka kuwa mfuasi wa CHADEMA
 
Ndiyo maana ccm wanaichukia sana cdm
Upendo, huruma, utu na maendeleo kwanza, Chama badae, ni kheri na baraka kuwa mfuasi wa CHADEMA

In God we Trust
 
Wanasiasa mimi huwa siwaamini kabisa ukute hapo wametengeneza mazingira ya kisiasa kwa kuvaa sare za chama chakavu
 
Hivi sasa Rais Uhuru Kenyatta anafanya juhudi kubwa ya kuliunganisha taifa lake na kujaribu kutibu donda ndugu la ukabila tofauti sisi hapa tunachochea chuki kati ya CCM na wapinzani hasa Chadema. Ole wake aliyepanda mbegu hii ya chuki,kamwe chuki hii haitamuacha salama. Mungu ibariki TANZANIA yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina Amina
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…