CHADEMA na mbio za sakafuni

mnatujazia server ya jf kwa thread ambazo hata hazina objectives wala goal unakuta mtoa mada ni mtu mwenye heshima asiye na hekima
 
Na bado shujaa zito hajaanza ziara za mikoani mbona mtakoma.

Hivi ikatokea zitto akasemehewa mtashika wapi? Jisimamie na watu wenu akina kambaya na lipumba au nape na kinana vinginevyo mmeshika pabaya Shekau,.pole kwa majanga yanayowasibu ila ndo hivyo tena alipewa kapewa tu
 

Nakushauri uwachane na hili jukwaa la siasa uwe unatumia muda wako majukwaa mengine kama la udaku au la mapenzi na mahusiano
 

Hiyo misemo uliyotangulia kuisema hapo mwanzo ni sahihi. Maana ndivyo itakavyo kuwa kwa ccm. Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha hivyo ndugu ccm iko ukingoni kwa sasa inapumulia mashine. pole kwa kuwa bado hujazinduka bado umezimia na umefunikwa na shuka la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…