Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
Tanzania tulipofikia hatuhitaji tena kuwa na vyama vya CCM na CHADEMA, hivi vyama vinasababisha Amani na Uzalendo wa Taifa letu kupotea, migogoro kila kukicha, leo tunasika CCM wana green guard hawa nao CHADEMA wana Red brigadi, je ni majeshi au ni vikundi? je katiba ya nchi inaruhusu? kama wote wamevunja katiba ya nchi kwa kuanzisha waliyoanzisha nini kifanyike? Ni bora kabisa vyama hivi vikafutwa kabisa? tena kile kinachoonekana kuwa ni tatizo kifutwe kabisa? Ni heri tuingie kwenye uchaguzi mdogo wa kitaifa kuliko kupoteza Amani na Uzalendo wa Taifa letu.VIVA chama cha NCCR-MAGEUZI-PAMOJA TUTASHINDA, MUNGU YUPO.
Au kuwaua???Siku watoto wako wawili wakiwa na mawazo tofauti katika familia utawafuta?
Ni wewe mwenyewe umeandika au Mama Clara kaiba password yako?
Njoo na ID yako kamili au unaogopa?Au rudi FB kuleTanzania tulipofikia hatuhitaji tena kuwa na vyama vya CCM na CHADEMA, hivi vyama vinasababisha Amani na Uzalendo wa Taifa letu kupotea, migogoro kila kukicha, leo tunasika CCM wana green guard hawa nao CHADEMA wana Red brigadi, je ni majeshi au ni vikundi? je katiba ya nchi inaruhusu? kama wote wamevunja katiba ya nchi kwa kuanzisha waliyoanzisha nini kifanyike? Ni bora kabisa vyama hivi vikafutwa kabisa? tena kile kinachoonekana kuwa ni tatizo kifutwe kabisa? Ni heri tuingie kwenye uchaguzi mdogo wa kitaifa kuliko kupoteza Amani na Uzalendo wa Taifa letu.VIVA chama cha NCCR-MAGEUZI-PAMOJA TUTASHINDA, MUNGU YUPO.
Hutu tuvyama kama Nccr kabla ya chadema kuwa na sera kama sasa kilivyo sasa na kuwa mi mmoja wao, sikuwahi kuwa na hamu ya kuwa na chama chochote kutokana na ujinga na upumbavu wa siasa za upinzani tz, haya yote matawi ya ccm isipokuwa CDM na ndio maana nilipogundua hilo nilijiunga nao. Unavyodhihirisha unafiki wako baba mzima ulikuwa wapi siku zote usikemee green gurd au usishabikie ccm kufutwa ila cdm tu ilipotangaza kuanzisha red briged naona wapambe wa ccm i.e Nccr mnakurupuka bila hata kuvaa ch>p>i.....inawezekanaje ukawa mbunge wa upinzani kwa kuteuliwa na rais wa chama tawala kwa siasa za kiafrika na hasa tz ? Mpaka kesho baada ya uteuzi ule nikagundua kafulila alikuwa na hoja ya msingi mno ambayo vipofu hawaoni. Acha unafiki ili tujenge nchi ambayo clara atakuja kuifurahia sio kumuandalia kihamaTanzania tulipofikia hatuhitaji tena kuwa na vyama vya CCM na CHADEMA, hivi vyama vinasababisha Amani na Uzalendo wa Taifa letu kupotea, migogoro kila kukicha, leo tunasika CCM wana green guard hawa nao CHADEMA wana Red brigadi, je ni majeshi au ni vikundi? je katiba ya nchi inaruhusu? kama wote wamevunja katiba ya nchi kwa kuanzisha waliyoanzisha nini kifanyike? Ni bora kabisa vyama hivi vikafutwa kabisa? tena kile kinachoonekana kuwa ni tatizo kifutwe kabisa? Ni heri tuingie kwenye uchaguzi mdogo wa kitaifa kuliko kupoteza Amani na Uzalendo wa Taifa letu.VIVA chama cha NCCR-MAGEUZI-PAMOJA TUTASHINDA, MUNGU YUPO.
Siku watoto wako wawili wakiwa na mawazo tofauti katika familia utawafuta?
Ni wewe mwenyewe umeandika au Mama Clara kaiba password yako?
Tanzania tulipofikia hatuhitaji tena kuwa na vyama vya CCM na CHADEMA, hivi vyama vinasababisha Amani na Uzalendo wa Taifa letu kupotea, migogoro kila kukicha, leo tunasika CCM wana green guard hawa nao CHADEMA wana Red brigadi, je ni majeshi au ni vikundi? je katiba ya nchi inaruhusu? kama wote wamevunja katiba ya nchi kwa kuanzisha waliyoanzisha nini kifanyike? Ni bora kabisa vyama hivi vikafutwa kabisa? tena kile kinachoonekana kuwa ni tatizo kifutwe kabisa? Ni heri tuingie kwenye uchaguzi mdogo wa kitaifa kuliko kupoteza Amani na Uzalendo wa Taifa letu.VIVA chama cha NCCR-MAGEUZI-PAMOJA TUTASHINDA, MUNGU YUPO.
Au waungane basi. Chama Cha Demokrasia na Mapinduzi