Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,029 Reaction score 134,270 May 10, 2015 #21 T2015CCM said: Wewemawazo na the like ni mburula..wafu wanaotembea Click to expand... Mkuu huwezi ku-argue kisiasa mpaka unipe matusi?
T2015CCM said: Wewemawazo na the like ni mburula..wafu wanaotembea Click to expand... Mkuu huwezi ku-argue kisiasa mpaka unipe matusi?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,573 Reaction score 272,320 May 10, 2015 #22 kwetu kyela hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa anahutubia na watu wanajaa ( ikumbukwe kuwa tumelamba mji mdogo )
kwetu kyela hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa anahutubia na watu wanajaa ( ikumbukwe kuwa tumelamba mji mdogo )
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,573 Reaction score 272,320 May 10, 2015 #23 OKW BOBAN SUNZU said: Kazi ya Mawazo imetukuka,Mungu mbariki Kamanda Mawazo,Mungu ibariki Chadema Click to expand... umeandika ukweli sana .
OKW BOBAN SUNZU said: Kazi ya Mawazo imetukuka,Mungu mbariki Kamanda Mawazo,Mungu ibariki Chadema Click to expand... umeandika ukweli sana .
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,573 Reaction score 272,320 May 10, 2015 #24 Kicheba One said: اصصىزششرر Click to expand... mkuu kicheba one nakusalimia , usipotee namna hii kamanda .
Kicheba One said: اصصىزششرر Click to expand... mkuu kicheba one nakusalimia , usipotee namna hii kamanda .
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,573 Reaction score 272,320 May 10, 2015 #25 T2015CCM said: Wewemawazo na the like ni mburula..wafu wanaotembea Click to expand... nimekudharau sana ! na nawahurumia sana wazazi wako , wamepata hasara kubwa sana !
T2015CCM said: Wewemawazo na the like ni mburula..wafu wanaotembea Click to expand... nimekudharau sana ! na nawahurumia sana wazazi wako , wamepata hasara kubwa sana !
H hoyce JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 1,117 Reaction score 298 May 10, 2015 #26 Ritz said: Chadema wamevurungwa sana kila kwenye shughuli zao lazima wamtaje Zitto. Click to expand... uliona wapi shehe au padri anamaliza ibada bila kumtaja shetani! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ritz said: Chadema wamevurungwa sana kila kwenye shughuli zao lazima wamtaje Zitto. Click to expand... uliona wapi shehe au padri anamaliza ibada bila kumtaja shetani!
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 9,129 Reaction score 3,673 May 10, 2015 #27 Lizaboni said: Uhai wa CHADEMA unatokana na Zitto. Kwa sasa wanahaha kumchafua lakini ndo kwanza wanampaisha kisiasa Click to expand... Tulia sindano Kali ya ukawa ikuingie wewe Binti kigoli
Lizaboni said: Uhai wa CHADEMA unatokana na Zitto. Kwa sasa wanahaha kumchafua lakini ndo kwanza wanampaisha kisiasa Click to expand... Tulia sindano Kali ya ukawa ikuingie wewe Binti kigoli
SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,615 Reaction score 929 May 10, 2015 #28 Lizaboni said: CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema hawana chao Click to expand... Naona CCM imekukatisha tamaa kabisa... unataka kuikimbia mapema hivyo?
Lizaboni said: CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema hawana chao Click to expand... Naona CCM imekukatisha tamaa kabisa... unataka kuikimbia mapema hivyo?
The dream JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 999 Reaction score 997 May 10, 2015 #29 Lizaboni said: CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema Tunza akiba ya maneno ndugu yangu maana octoba sio mbali Click to expand...
Lizaboni said: CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema Tunza akiba ya maneno ndugu yangu maana octoba sio mbali Click to expand...