Usiwaze nenda ukawa hutojutia, maendeleo kwa wote.Mi ccm siwataki,ukawa siwaamini NISHAURINI NDUGU YENU
Huitaji kufanya hesabu za MAGAZIJUTO kutambua kwamba wana CDM+UKAWA watashinda kwa kishindo oct 25. Nakupa 7bu chache sana zny mashiko.
1. CCM haina mvuto tena kwa vijana, wazee, wasomi na hatata watoto wa primary.
2. Vijana wamejitokeza kujiandikisha kwa wingi na wamehasika kwnd kupiga kura tofauti na miaka ya nyuma. Na hawa ndio hazina kuu ya kura kwa CDM+UKAWA.
3.Kuondoa jina EL kwa fitina na uzandiki tayari i mpacts zake zinaonekana kwa wanachama wa CCM kuhamia CDM, Itawaghalimu.
4. Kauli za kifedhuli na kibazazi zinazotolewa na viongozi waandamizi wa chama. Mfan ccm itashinda hata kwa goli la mkono. Hatari.
Zaidi ya miaka hamsini tanga tupate uhuru hakuna uhuru wa kweli na mabadiliko yenye tija kwa watanzania. Poleni Watanzania.
5. Tabaka kubwa la walionacho na wasionacho hasira zinaongezeka kwa Watanzania. Vigogo wacheche wa ccm wana ukwasi mkubwa ilhali majority ya wa tz ni masikini wa kutupwa.
Kwa mfano watu kuishi kwenye tembe ndo maisha bora hayo mkuu wa kaya?
haihitaji kalkuleta kujua hilo mkuu. Kwa sasa tumefikia patamu
Mi ccm siwataki,ukawa siwaamini NISHAURINI NDUGU YENU

Ccm chaaliii
Naomba sana kwa mungu mkuu awa jamaa wametutoa jasho kwa mda mrefu sasa ivi ni zamu yao kuvuja damu
Haya magamba yalichotufanya nisingetamani kusikia kuna msafi kati yao wakuliongoza taifa ili. Walithubutu kupitisha katiba kibabe...pesa wamebeba matuta...hakuna wa kumuonya mwenzie.....NO...non..hapana....they will not get my vote. Ukawa tupe mgombea haraka.
Kwa hiyo wewe ulitaka ccm watuwekee wagombea wasio faa..?