The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,587
Hicho kiinglishi umeniacha kidogo bwashee!Chadema ni nuru iwamulikayo wahangaikaji ndio maana wote huikimbilia as there first destination, hilo halina ubishi, vyema wakiondoka waweke akiba ya maneno wasije kujuta mbele ya safari.
🤣🤣Kua muungwana mkuu, kosoa huku unamfundisha, maan yaezekana hajaelewa amekuachaje. Aidha amekuacha kwamba hujui lugha ya malkia au lugha ya malkia aliyotumia haiendani na alichokusudia kusema.Hicho kiinglishi umeniacha kidogo bwashee!
Hahahaaaa...... Pale kwenye " there" ndipo aliponiacha bwashee!🤣🤣Kua muungwana mkuu, kosoa huku unamfundisha, maan yaezekana hajaelewa amekuachaje. Aidha amekuacha kwamba hujui lugha ya malkia au lugha ya malkia aliyotumia haiendani na alichokusudia kusema.
Najua 🤣🤣sema hii mambo wakati mwingine ni kupeana elimu na kufundishana, lugha ya malkia unaweza ona rahis kuandika unachotaka kumaanisha but kwenda kweny maana halis inakua tofautHahahaaaa...... Pale kwenye " there" ndipo aliponiacha bwashee!
Mbona unaandika nusu nusu ungemalizia kuwa badala ya 'there' angeandika 'their'. Hapa tunakosoana na kufundishana.Hahahaaaa...... Pale kwenye " there" ndipo aliponiacha bwashee!
Ni kweli ni chama mbadala lakini hakina budi kubadili mtindo au political strategies. Misimamo isiyoenda na upepo wa kisiasa kwa wakati husika ni janga kwa hiki chama.Uko sahihi kabisa,chadema inazidi kuwa imara na ndicho chama mbadala kwa sasa.Wananchi na wapenzi wanakipenda wenyewe toka moyoni bila shuruti.Wageni si vyema kupewa vyeo vya juu kwa sasa bado tuna hazina kubwa ya vijana wenye weledi kwa sasa tuwape kipaumbele. Walioondoka baada ya kupata faraja ruksa wala hatuna hiana nao.Bila ushindani wa kisiasa nchi itakwenda kama mkokoteni unaovutwa na punda
Ni kawaida kwa binadamu kutafuta faraja pale anapoumizwa....
Habari ya Dodoma Bwashee!Hahahaaaa...... Pale kwenye " there" ndipo aliponiacha bwashee!
Dodoma mama ameanza vizuri Chadema kanda ya kati na ile ya kusini zimebomoka!Habari ya Dodoma Bwashee!
Kutoa wafungwa ndio kuimarika?? Hiki chama cha hovyo kabisa! Nilijua utasema mpo busy kuibua hoja na kujenga imani kwa wananchi.Mbona ndio tunazidi kuimarika? Sasa tuko busy kuwatoa mahabusu wanachama wetu waliobambikiwa kesi za hovyo hovyo
Ile kauli ya Kabaka majaliwa hakuifuraia Bwashee.Dodoma mama ameanza vizuri Chadema kanda ya kati na ile ya kusini zimebomoka!
Huo ni mtazamo wako, kama ambavyo mliamini kuwafunga ndio kuua chama. Nimekuji kistaarabu sanaKutoa wafungwa ndio kuimarika?? Hiki chama cha hovyo kabisa! Nilijua utasema mpo busy kuibua hoja na kujenga imani kwa wananchi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app