Ni baada ya kuonyesha kuwa wao ndio walihusika kumtia adabu mwenyekiti wao bwana China na kumpa adabu ya kutosha kabisa!! Hivyo basi jeshi la polisi limewatia mbaroni wahusika hawa viongozi wa na cha kuchekesha redbriguad waliokula mkong'oto wametelekezwa bila msaada wa matibanu